Kama nilivyokuahidi wiki
iliyopita, Semina yetu itaanza kesho Jumatano tarehe 20 Machi 2019 saa 4
asubuhi. Siku ya kwanza kesho tutaanza na maelezo matupu na siku ya pili na ya
tatu tutakuwa na ukokotoaji wa hesabu hatua kwa hatua kwa kutumia michanganuo
ambayo tayari imeshatayarishwa hesabu zake. Tutakachokifanya ni kukuonyesha
namba hizo zilivyopatikana na jinsi ripoti zote 3 za fedha zinavyohusiana. Hapa
chini ni yale yatakayokuwemo katika semina nzima;
Ikiwa tayari upo kwenye
group la MICHANGANUO-ONLINE huna haja ya kulipa tena kiingilio cha sh. Elfu 10
ila kama bado, unaweza kulipa ili uunganishwe mara moja. Lipia kwa namba
0765553030 au 0712202244, ukituma na ujumbe wa “NIUNGANISHE NA SEMINA” Kumbuka
nafasi katika group zimebakia chache mno. Ikiwa hutumii wasap nitumie email
nitakutumia masomo yote kwa email.
SIKU YA KWANZA: MAELEZO KWA MANENO
1. Hesabu
au kipengele cha fedha katika Mpango wa biashara maana yake ni nini?
2. Uanze
na kipi, kati ya upande wa hesabu au upande wa maneno unapoandika mpango wa
biashara?
3. Katika
Mpango wa biashara ni sura ipi unaanza kukutana na namba kwa mara ya kwanza
kabisa?
4. Sura
zote unazokutana na namba katika mpango wa biashara.
5. Jinsi ya kufanya hesabu ndogondogo kabla
ya kuingia kipengele chenyewe kikubwa cha fedha
1) Mahitaji
na chanzo cha fedha za mahitaji hayo
2) Tathnmini
ya ukuaji wa soko
3) Makisio
ya mauzo, Gharama za mauzo na Bajeti/Gharama za uendeshaji.
4) Mishahara/mpango
wa malipo
6. Sura yenyewe ya Fedha(MPANGO WA FEDHA)
1) Makisio
ya Ripoti ya Faida na Hasara
2) Makisio
ya Ripoti ya Mzunguko wa Fedha Taslimu
3) Makisio
ya Rasilimali na Madeni(Mizania ya Biashara)
4) Mauzo
ya kurudisha gharama(Break Even Analysis)
5) Tathmini
ya Sehemu muhimu za Biashara(Ratio Analysis)
SIKU YA PILI(NAMBA NA HESABU KWA VITENDO PATR 1)
7. Hesabu na namba ndogondogo kabla
hujaingia Sura yenyewe ya Mpango wa Fedha.
1) Mahitaji
na chanzo cha fedha za mahitaji hayo
2) Tathnmini
ya ukuaji wa soko
3) Makisio
ya mauzo, Gharama za mauzo na Bajeti/Gharama za uendeshaji
4) Mishahara/mpango
wa malipo
SIKU YA TATU (NAMBA NA HESABU KWA VITENDO PATR 2)
8. Sura yenyewe ya Fedha(MPANGO WA FEDHA)
1) Makisio
ya Ripoti ya Faida na Hasara
2) Makisio
ya Ripoti ya Mzunguko wa Fedha Taslimu
3) Makisio
ya Rasilimali na Madeni(Mizania ya Biashara)
4) Mauzo
ya kurudisha gharama(Break Even Analysis)
5) Tathmini
ya Sehemu muhimu za Biashara(Ratio Analysis)
MWISHO WA SEMINA.
Ukiwa na swali lolote kuhusiana
na kitu chochote katika semina hii kwa
siku hizi tatu unaweza kuuliza kupitia watsap, email, SMS au kwa njia ya simu
na utapata ufafanuzi wa kina.
Wasap: 0765553030
SIMU: 0712202244
EMAIL:
jifunzeujasiriamali@gmail.com
Soma pia;
0 Response to "YALIYOMO KATIKA SEMINA YA JINSI YA KUANDAA HESABU ZA MPANGO WA BIASHARA"
Post a Comment