ILI UFANIKIWE KUWA TAJIRI MKUBWA JIEPUSHE KABISA NA KAULI HIZI 4 | JIFUNZE UJASIRIAMALI

ILI UFANIKIWE KUWA TAJIRI MKUBWA JIEPUSHE KABISA NA KAULI HIZI 4

KIJANA TAJIRI AKILA BATA
Watu wa kawaida wa hali ya chini huwa na mawazo hasi juu ya pesa na linapokuja suala la kupata pesa nyingi wengi wetu huwa tunaamini kuwa hatuwezi kupata pesa nyingi. Unapozungumza na matajiri wengi waliotajirika wenyewe(siyo utajiri wa kurithi) watakupa stori tofauti kabisa. Wao huamini kila kitu kinawezekana na wana mitazamo chanya sana juu ya pesa.

Kuna vitu ama tuseme kauli nne(4) ambazo kamwe mtu tajiri na wale wote walio na mawazo ya kitajiri hawawezi kuzitamka. Na ikiwa basi sisi watu wa kawaida(masikini) tutaamua kwa dhati ya mioyo yetu kutokuzitamka ovyo tutakuwa na sisi matajiri ndani ya muda mfupi sana.

1.Sina wala siwezi kupata  mtaji wa kuanzisha biashara yangu.
Kwa muda mrefu nimewahi kukutana na maswali ya wajasiriamali na wasomaji wa makala zangu wengi wakilalamika kwamba wamebuni vitu na miradi mbalimbali inayoweza kuwafanya watajirike lakini tatizo lao kubwa limekuwa siku zote ni mitaji. Mawazo yao yote ambayo yangeliweza kubadilisha maisha yao, ya watu wengine na dunia kwa ujumla hayakuweza kufika hata hatua ya “kusimama dede” kutokana tu na imani kwamba hawana pesa za kugharamia utafiti zaidi au uendelezaji wa miradi hiyo.

SOMO: Unapenda kuwa kama Bakhresa, Mengi, Dewji na Rostam? Fuata njia hizi 10 uone mafanikio yake.

Lakini wakati mtu mwenye mawazo ya kitajiri anapobuni wazo la biashara ambalo anajua wazi kabisa hawezi kuligharamia kimtaji atahakikisha anafanya juu chini mpaka analitekeleza na siyo kuishia kukata tamaa tu hivihivi. Anaweza akatumia mbinu mbalimbali ikiwemo kutumia pesa za watu wengine ilimradi tu wazo lake haliishii hewani.

SOMA: Umekata tamaa ya maisha? hebu soma maajabu ya mwanasayansi huyu mkubwa Duniani. 

Wakati mwenye mawazo ya kimasikini akisema, “Siwezi kupata mtaji” anayefikiri kitajiri hujiuliza, “Wazo hili endapo nitawekeza pesa litalipa?” kama linalipa anafahamu kabisa kwamba fedha siku zote zipo kwa sababu watu wenye uwezo(matajiri) wakati wote hutafuta mawazo ya biashara/miradi inayolipa na watendaji wazuri watakaoigeuza miradi hiyo kuwa pesa. Hivyo anaweza akawafuata watu kama hao akiingia nao ubia au hata kuwauzia wazo hilo na kupata pesa za kwenda kuanza.

2.Sistahili kuwa tajiri.
Kuna imani moja potofu  iliyoenea sana miongoni mwa watu masikini inayosema kwamba masikini hawana haki wala uwezo kama binadamu wa kupata matumaini na utajiri zaidi ya mahitaji yao ya kimsingi tu, hujiuliza wenyewe, “Mimi ni nani mpaka niwe milionea”, “mimi ni nani hadi niishi kama mfalme?”

SOMA: Kwanini kufanikiwa kifedha si dhambi na kila mtu anastahili afanikiwe?

Matajiri wao hujiuliza hivi, “Kwanini nisiwe mimi? Mimi ni sawa tu na alivyokuwa mtu mwingine yeyote yule na ninastahili kuwa tajiri..ikiwa nitawahudumia watu wengine kwa kutatua matatizo yao kwanini nisilipwe utajiri?” Na kwa kuwa wamekuwa na imani hii tabia zao huwasukuma kuelekea ndoto zao kuwa kweli.

3.Naweza nikapoteza kila kitu.
Kwakuwa watu hufanya kazi katika ufahamu wa hofu na umasikini ni dhahiri kabisa kwamba watakuwa wahafidhina na pesa kupita kiasi(waoga)......

 ..........................................................................

Ndugu msomaji, katika blogu hii tuna makala za aina mbili, kuna makala kamili za kawaida tulizozizoea lakini pia zipo zisizokuwa kamili kama hii ambazo ni kama vidokezo vya makala nyingize au masomo tunayojifunza katika group letu la whatsap la MICHANGANUO-ONLINE.  Somo hili la likiwa kamili litatolewa katika group hilo leo usiku saa 3 na kila siku huwa kunakuwa na masomo mapya.

Group hilo kuna kiingilio cha shilingi elfu 10 ambacho hulipwa kupitia simu ya mkononi na namba zetu ni hizi mbili zifuatazo,
0765553030 au 0712202244 jina hutokea Peter Augustino Tarimo. Baada ya malipo tuma ujumbe wa kawaida au watsap 0765553030 usemao, "NIUNGANISHE NA GROUP LA MASOMO"

Pamoja na masomo hayo ya kila siku, ukishalipia tu tunakutumia masomo na seminas mbalimbali zilizopita pamoja na kitabu chetu maarufu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI. Vitu hivyo mbalimbali ni hivi vifuatavyo;

1.  Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.

2.  Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1

3.  Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2

4.  Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.

5.  Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.

6.  SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.

7.  Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)

8.  Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza

9.  Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.

10.              Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.

11.              Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5

12.              Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.

13.              Ukurasa mmoja wa mchanganuo.


WATSAPP: 0765553030
SIMU:          0712202244

Peter Augustino Tarimo

self help books Tanzania

0 Response to "ILI UFANIKIWE KUWA TAJIRI MKUBWA JIEPUSHE KABISA NA KAULI HIZI 4 "

Post a Comment