Mada hii ni watu wengi sana wamewahi kuizungumzia
mitandaoni na hata nje ya mitandao na kuna vitu vingi pia vimewahi kutajwa kuwa
huleta furaha kwa binadamu lakini vitu au mambo haya nitakakwenda kuyataja leo
hapa ni tofauti kabisa, au tuseme ni orijino, nikimaanisha kuwa ni vitu
vilivyofanyiwa utafiti wa kina kabisa na jopo la watu mimi mwenyewe binafsi
nikiwamo.
Katika vitu vingi vinavyotajwa kumpa binadamu furaha, mwisho wa siku wengi huja kukuta
havina uwezo wowote wa kumpa mtu furaha ya kweli iwezayo kudumu muda mrefu.
Hata ikiwa watu wanahubiriwa kila wakati kuwa vitu fulani ndivyo huweza
kuwaletea furaha, mara nyingi hukuta hawawezi kwenda moja kwa moja na kuipata
furaha hiyo kutokana na vitu hivyo, tena cha kushangaza basi watu wengi
huendelea tu kuitafuta furaha kutoka katika vitu vingine tofauti
visivyoeleweka.
Wanajikuta wakiwa bado na kiu kali ya furaha lakini
wasijue ni namna gani waipate, kumbe kuna njia rahisi tu za kuipata ambazo
unaweza usiamini mara moja utakapotajiwa kwamba ndizo chanzo cha furaha ya watu
wengi Duniani uliowahi kusikia waliishi au wanaishi bila misongo ya
mawazo(stress). Suala pia kama pesa nayo ni miongoni mwa vitu hivyo au la,
tutakwenda kulijua kadiri somo letu hili linavyoendelea.
Tofauti kubwa iliyokuwepo kati ya vitu hivyo 8 na vile watu wengi walivyozoea
kufikiri ndivyo huleta furaha ni kwamba, hivi ni vitendo ambavyo mtu anatakiwa
kuvifanya na wala siyo vitu maalumu mfano wa pesa, mali au chakula.Hebu sasa
tukaone vitendo hivyo moja baada ya kingine;......
..............................................................
Mpenzi msomaji wangu hii ni sehemu
ndogo tu ya somo, somo hili zima tutasoma leo May 5 usiku saa 3 katika group
letu la masomo ya kila siku la MICHANGANUO-ONLINE, Katika group hili tunakuwa
na masomo yahusuyo Fedha pamoja na Michanganuo ya biashara kila siku, tunashea
mambo mbalimbali vikiwemo vitabu, michanganuo pamoja na vitu vingine
mbalimbali.
Kiingilio ni shilingi Elfu 10 kwa
mwaka huu mzima na mara tu unapolipa tunakutumia masomo yote yaliyopita
zikiwemo semina na michanganuo. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi vifuatavyo;
1. Kitabu
cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Kitabu
kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1
3. Kitabu
kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2
4. Kitabu
kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.
5. Kitabu
mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza,
ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
6. SEMINA:
Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
7. Kifurushi
maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
8. Mchanganuo
wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza
9. Mchanganuo
wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.
10.
Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara
inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
11.
Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2
IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja
au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
12.
Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.
13.
Ukurasa mmoja wa mchanganuo.
Ikiwa hutumii mtandao wa WASAP,
hamna tatizo kwani masomo na vitu vyote tunatuma pia kwa njia ya Email yako.
Kujiunga
lipia kiingilio chako sh. elfu 10 kupitia namba 0765553030 au 0712202244 jina
hutokea Peter Augustino Tarimo kisha tuma ujumbe wa kawaida au wasap usemao,
"NIUNGANISHE NA MASOMO YA KILA SIKU" Tutakuhudumia ndani ya dakika 5
0 Response to "MAMBO 8 YA KIPEKEE YANAYOWAPA WATU FURAHA YA KWELI, JE PESA IPO?"
Post a Comment