Kujaribu kupata pesa kutoka vyanzo
tofautitofauti vya mapato au kutumia MIFEREJI YA PESA kama nilivyoeleza katika
kitabu changu kimoja kiitwacho, MIFEREJI
7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA, kwa kweli ni jambo
linalowavutia watu wengi sana masikioni lakini kitu wengi wasichokifahamu ni ‘technics’ au ujanja unaotumika. Kupata
pesa kupitia mifereji(vyanzo) mbalimbali(multiple streams of income) ni jambo
linalowezekana bila shida yeyote ile kubwa lakini kuna mazingira fulani
yanayopaswa kwanza kutimizwa ndipo mtu aweze kuingiza kipato cha uhakika kwa
mtindo kama huo.
Mifereji ya kipato, hii ni njia ambayo
matajiri wengi sana huitumia kakini watu wengine wa kawaida kila wanapojaribu
kuitumia mara nyingi hukumbana na vikwazo vingi, kikubwa ikiwa ni jinsi mtu
anavyoweza kudumisha umakini wake(focus) katika biashara zaidi ya moja ilihali
rasilimali alizokuwa nazo ni chache hazitoshi hata kuweka watu wengine wamsaidie.
Kwa hiyo hapa utaona dhahiri ikiibuka ile hadidhi au msemo maarufu wa, “Mshika
mawili hatimaye zote humponyoka” Sasa ni tekniki gani mtu wa kawaida
anaweza akaitumia ili aweze kuitumia njia hii inayowaneemesha matajiri zaidi ?
Lakini kabla hatujaenda kuziona
mbinu(tekniki) hizo ni zipi, hebu kwanza nikurudishe kwenye somo letu la jana ambapo
nilisema kwamba, kisaikolojia pesa huenda kwa mtu yule tu anayeithamini na
kuipenda, kisha nikaongezea tena kwamba ukitaka kupata pesa za kweli na siyo ‘makaratasi au shaba’, basi ni lazima
ujiandae kwanza kiakili(kisaikolojia) kwa kuweka Tamko chanya akilini
linalotaja mpaka kiasi kamili cha pesa unachotamani kukipata, tamko hilo
unaliandika katika karatasi kabla hujaanza kulikariri akilini kila siku. Sasa
baada ya kuamua ni kiasi gani unachokitaka, amua pia ni huduma au ni bidhaa
zipi utakazozitoa kwa wateja kusudi na wao waweze kukupa kiasi cha fedha
unachotamani kupata.
Ikiwa utaamua pesa hizo uzipate kupitia
vyanzo mbalimbali vya mapato(Mifereji ya pesa), kigawe kiasi hicho kwa vyanzo
vyote unavyolenga kuwa navyo ili kila chanzo kichangie kiasi chake mfano labda
umeamua kuwa na saloon, mgahawa na bodaboda basi kila mradi upangie utachangia
kiasi gani kutimiza kiasi kile ulichoweka katika Tamko lako.
Hatua inayofuata sasa, hapa ndipo tekniki
yenyewe ilipo hasa, lakini hata kabla ya kuanza kuelezea mbinu yenyewe kuna
vitu muhimu vitatu (3) unavyoshauriwa uvizingatie katika mifereji mbalimbali ya
pesa au vyanzo vya mapato unavyotaka vikutiririshie pesa. Katika kuchagua
miradi mbalimbali kama vyanzo vyako vya mapato zingatia mambo haya 3 yafuatayo;……………
……………………….......
Mpenzi msomaji wa blogu hii baadhi ya makala za fedha kama hii huwa tunaweka hapa sehemu tu na sehemu inayobakia tunamalizia katika group la masomo ya kila siku watsap(MICHANGANUO-ONLINE). Tunafanya hivi kwa lengo la kutaka yule anayependa kujifunza zaidi basi aweze kupata fursa hiyo kwa kuchangia sehemu ndogo ya gharama za kuandaa masomo hayo adimu(exclusive).
Hata hivyo katika blogu hii zipo makala nyingine nyingi nzuri tunazoendelea kuziweka free kabisa bila kuchaji chochote kwa wasomaji wetu wapendwa ambao kwa namna moja ama nyingine bado hawajajaliwa kupata kiingilio cha group, kwani si nia yetu kuwaacha nyuma hata kidogo .
Ikiwa basi unapenda kujiunga na masomo hayo kwa undani zaidi ikiwa ni pamoja na kupata vitabu, michanganuo na semina mbalimbali zote zilizopita katika hilo group, unalipia ada ya sh. elfu 10 tu ambayo ni bei iliyokuwa kwenye offa maalumu. Baada ya muda mfupi ujao offa hii haitokuwepo tena tunataraji kuitoa.
Lipia leo hii kupitia namba zangu, 0765553030 au 0712202244 nikutumie offa zote hizi hapa chini na pia tarehe 15 Septemba uingie katika Semina yetu ya 2 ya mchanganuo wa Kiwanda, mwezi AGOST tulikuwa na kiwanda cha Tofali za block. Mwezi huu wa SEPTEMBA tutakuwa na mchanganuo wa aina yake ambao tofauti na michanganuo mingine yote uliyowahi kusoma, huu utakuwa na ubunifu wa kipekee wa aina yake unaomwezesha mtu kwenda kuapply moja kwa moja mbinu hizo katika kiwanda chake kidogo cha USAGISHAJI WA NAFAKA. Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi za semina hii kila siku hapa....
Baadhi ya OFFA nilizosema ni hizi hapa chini;
1. Kitabu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI kwa lugha ya Kiswahili.
2. Kitabu kipya cha masomo ya Mzunguko chanya wa fedha 2018 part 1
3. Kitabu kipya cha Masomo ya fedha 2018 part 2
4. Kitabu kipya 1 cha jinsi ya kuandika michanganuo ya biashara hatua kwa hatua.
5. Kitabu mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITTE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.
6. SEMINA: Masomo 11 ya jinsi ya kuandika mpango wa biashara.
7. Kifurushi maarufu cha michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS)
8. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) kwa Kiswahili na kiigereza
9. Mchanganuo wa biashara ya kilimo cha matikiti maji.
10. Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.
11. Semina na mchanganuo wa Biashara: Kiwanda cha tofali za saruji Kiluvya.
12. Mfumo mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENT SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
13. Somo muhimu sana la mzunguko wa fedha.
14. Ukurasa mmoja wa mchanganuo.
0 Response to "UJANJA MATAJIRI WANAOTUMIA KUPATA PESA KUTOKA VYANZO VINGI VYA MAPATO"
Post a Comment