TUNATUMA VITABU VYA UJASIRIAMALI MKOA WOWOTE ULE TANZANIA KWA USALAMA 100% WA FEDHA YA MTEJA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

TUNATUMA VITABU VYA UJASIRIAMALI MKOA WOWOTE ULE TANZANIA KWA USALAMA 100% WA FEDHA YA MTEJA


UTARATIBU WA KUAGIZA VITABU/KITABU (HARDCOPY) UKIWA MKOANI
Mteja anaweza kuagiza vitabu vyetu vyote 3 vya karatasi (HARD-COPIES) au kimoja kati ya hivyo kutokea mkoa au sehemu yeyote ile Tanzania pasipo kuwa na wasiwasi wowote ule wa kupoteza fedha zake. Sisi tunahakikisha mteja anapata kitabu/vitabu alivyoagiza vinginevyo tunarudisha fedha zake. 

Hapa chini ni video inayoonyesha utaratibu mzima jinsi tunavyotuma vitabu vyetu kwa wateja mbalimbali Mikoani.

UTARATIBU WA KUAGIZA VITABU/KITABU (HARDCOPY) UKIWA MKOANI
1.  Tuma malipo ya kitabu/vitabu pamoja na gharama za usafiri kwa njia ya simu, 0765553030/0712202244 Peter Augustino Tarimo, kisha tujulishe kwa meseji simu au wasap kufahamu ni basi gani na mkoa ulipo

2.  Tukishafahamu basi linalofika ulipo, tunakwenda kutuma kitabu/vitabu siku hiyohiyo au kesho yake na tutakutumia namba ya kupokelea mzigo iliyo kwenye risiti tunayopewa na watu wa basi kisha siku inayofuata utapokea kitabu/vitabu vyako katika ofisi za basi husika kule ulipo.

3.  Usalama wa fedha za mteja ni wa asilimia 100% kwani sisi tunahakikisha mteja anapata kitabu/vitabu kwa wakati na vinginevyo basi tunarudisha fedha zote za mteja haraka iwezekanavyo.

4.  Gharama za usafiri hujumuisha, nauli ya kupeleka kitabu stendi kwa Dar es salaa ambayo ni sh. elfu 2,000/= na Gharama za basi kutoka Dar mpaka kule ‘percel’ inakokwenda ambazo hutegemea umbali na aina ya basi. Inaanzia sh. elfu 5 mpaka elfu 10. Unaweza kuulizia katika ofisi za basi kule uliko kabla ya kuagiza kitabu/vitabu

BEI ZA VITABU VYA KARATASI (HARD-COPIES) NI HIZI HAPA CHINI, BILA YA GHARAMA ZA USAFIRI.


SH. 20,000/=


SH. 10,000/=




SH. 5,000/=



Kwa vitabu na Michanganuo zaidi fungua ukurasa huu hapa wa, DUKA LA VITABU NA MICHANGANUO

0 Response to "TUNATUMA VITABU VYA UJASIRIAMALI MKOA WOWOTE ULE TANZANIA KWA USALAMA 100% WA FEDHA YA MTEJA "

Post a Comment