Kama hukuweza kuipata ile course kuhusiana na
uandaaji wa mpango wa biashara ya usagishaji na uuzaji wa unga safi na salama
wa dona (USADO), leo hii kuna habari njema nataka nikujulishe .
Semina hiyo ilikuwa imeandaliwa mahsusi kwa
ajili tu ya wale waliojiunga na Magroup ya Whatsap & Telegramu ya MICHANGNUO-ONLINE, lakini sasa hivi tumeona
ni vyema kuitoa bure kwa wasomaji na wafuasi wetu wote katika blogu ya
JIFUNZEUJASIRIAMALI pamoja na mitandao yake ya kijamii.
Mafunzo hayo yataanza kutolewa hapa katika mtandao
huu wa jifunzeujasiriamali BLOG kuanzia
siku ya Jumamosi ya tarehe 18/4/2020 saa 4 asubuhi na saa 10 jioni kila siku
kwa muda wa siku 7 na vipengele muhimu vitakavyofundishwa ni Utangulizi pamoja
na Sura zote 9 za Mchanganuo huo wa biashara ya USADO Mlilling
Ifuatayo ni ratiba ya kila siku na
masomo/vipengele vitakavyofundishwa;
SIKU
YA KWANZA I, JUMAMOSI: 18/4/2020
1) Utangulizi
2) Maana
hasa ya mpango wa biashara
3) Mambo
makubwa 3 ambayo kila mtu humu duniani anayeanzisha biashara huyafanya hata
pasipo kujua kama anayafanya.
4) Utafiti
/ upembuzi wa biashara ya USADO Milling
5) Njia
kuu 3 za kuandika mpango wa biashara yeyote ile
6) Sura
kuu zinazounda mpango wa biashara
SIKU
YA PILI 2, JUMAPILI: 19/4/2020
1) Kuanza
rasmi hatua kwa hatua kuandika Mchanganuo wa biashara ya USADO Milling
2) Muhtasari.
3) Maelezo
ya Biashara
4) Maelezo
ya Bidhaa
SIKU
YA TATU 3, JUMATATU: 20/4/2020
1) Tathmini
ya Soko
SIKU
YA NNE 4, JUMANNE: 21/4/2020
2) Mikakati
na Utekelezaji
SIKU
YA TANO 5, JUMATANO: 22/4/2020
3) Mpango
wa Uendeshaji
4) Uongozi
na Nguvukazi
SIKU
YA SITA 6, ALHAMISI: 23/4/2020
1) Mpango
wa Fedha / Financials
SIKU
YA SABA 7, IJUMAA: 24/4/2020
2) Vielelezo
/ Viambatanisho muhimu
Na huo ndio utakaokuwa mwisho wa Semina yetu hii,
Ukipenda kuifuatilia kwenye mtandao huu wa jifunzeujasiriamali basi ingia kwenye
mtandao huu kuanzia tarehe 18/4/2020 kisha tazama post ya
kwanza au ya pili utakutana na mfululizo huo kuanzia mwanzo mpaka semina
itakapomalizika siku ya tarehe 24/4/2020
UNAKARIBISHWA SANA!
Peter Augustino Tarimo
Whatsapp/call: 0765553030
SMS/Call:
0712202244
ASANTE.
0 Response to "JE, ULIKOSA ILE SEMINA YETU YA KUANDIKA MCHANGANUO WA MRADI WA KUSAGA NA KUUZA UNGA WA DONA (USADO)?"
Post a Comment