Kuna watu rasilimali adimu zaidi kwao ni Ardhi na
majumba, wengine fedha na magari na hata kuna wanaoona dhahabu na almasi ndiyo
rasilimali adimu zaidi hapa duniani. Lakini wote hawa wanashindwa kuutambua
ukweli wa mambo ulivyo, na laiti wangeliufahamu ukweli huo basi vitu vyote hivi
wanavyodhani kuwa ni adimu kwao kupindukia basi wangeliviona ni vitu vya
kawaida sana.
………………………..…
Katika
somo la siku ya leo tarehe 2/5/2020 katika magroup ya MICHANGANUO-ONLINE pamoja
na Channel yetu ya Telegramu, nitakwenda kufundisha somo hili ifikapo saa 3
mpaka saa 4 usiku. Usikose!
Kiingilio
katika masomo haya ya kila siku yahusuyo FEDHA ni shilingi elfu 10 na ada hii
ni ya mwaka wote wa 2020 hutalipa tena kwa miezi yote iliyobakia. Pia unapata
fursa ya kujifunza masomo yote yaliyopita kwenye group na channel yetu pamoja
na OFFA ya vitabu mbalimbali na Michanganuo kamili ya biashara zinazolipa.
Malipo
ni kwa namba, 0765553030 au 0712202244. Jina
ni PETER Augustino Tarimo.
Baada
ya malipo, nitumie ujumbe usemao; “NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE
PAMOJA NA OFFFA YA VITU 6”
Nitakuunganisha
muda huohuo pamoja na kukutumia kila kitu.
KWA VITABU NA MICHANGANUO YA BIASHARA MBALIMBALI TEMBELEA DUKA LETU LA VITABU MTANDAONI HAPA
0 Response to "RASILIMALI (2) ADIMU ZAIDI DUNIANI KULIKO DHAHABU & ALMASI NA NJIA YA KUZIPATA"
Post a Comment