Hatimaye tafsiri ya kile kitabu mashuhuri
zaidi duniani cha elimu ya fedha na mafanikio THINK AND GROW RICH, kwa lugha ya kiswahili, FIKIRI UTAJIRIKE kimekamilika na
kinapatikana kitabu chote kizima kikiwa kimekamilika sura zote 15. Uzinduzi
rasmi wa tafsiri ya kitabu hiki utafanyika hapo tarehe 1/8/2020 katika ukumbi
utakaotangazwa kwa washiriki watakaopenda kushiriki uzinduzi huo.
Think
& Grow Rich au Msahafu wa Mafanikio kama wengi wanavyokiita ni kitabu
ambacho, hakuna kingine kinachokifikia kwa umaarufu Duniani kote, kimewafanya
watu wengi watajirike, kupata umaarufu pamoja na madaraka. Kiliandikwa mwaka
1937 na mwandishi Napoleon Hill huko Marekani baada ya kupewa wazo
hilo na mtu mwingine aliyekuwa tajiri mkuwa kwa jina Andrew Carnegie
miaka 25 kabla. Kwa kifupi kitabu hiki kinazungumzia jinsi mtu anavyoweza
kupata utajiri kupitia fikra (mawazo).
Napoleon
Hill alitakiwa kufanya utafiti kujua kanuni inayoweza kutumika na mtu yeyote
yule anayetaka kutajirika. Kanuni hiyo ndiyo ambayo kila mtu anayepata
mafanikio iwe ni katika uchumi, familia, madaraka au nyanja nyingine yeyote ile
katika maisha huitumia.
Kanuni
au siri hiyo ipo ndani ya kitabu hiki, na ili mtu uweze kuijua na hatimaye
kuitumia ni sharti kwanza uwe na utayari wa akili, baada ya hapo kwa
kusoma sura za kitabu hiki utakutana nayo. Unaweza ukakutana nayo katika
sura ya kwanza, ya pili, ya mwisho au hata sura nyingine yeyote ile.
Ikiwa
watu wengi Duniani wamekisoma kitabu hiki na wakathibitisha kimewasaidia kupata
mafanikio makubwa, hakuna sababu ya mtu mwingine kuacha kusoma Think and Grow
Rich (Fikiri Utajirike). Sababu hii ndiyo iliyonifanya nikaamua kukaa chini na
kuanza kukitafsiri kitabu hiki katika lugha yetu adhimu ya Kiswahili.
Ili
uweze kupata nakala yako kwa Kiswahili ujisomee mwenyewe kwenye simu au
kompyuta yako kabla ya siku rasmi ya uzinduzi tarehe 1 August 2020 ni bure
lakini utatakiwa tu kulipia kitabu chetu cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA
UJASIRIAMALI sh. Elfu 10.
Kwa
yeyote yule atakayejipatia offa hii kabla ya siku ya tarehe 6 /7/2020 siku ya
Jumatatu, wiki moja tu tokea siku ya leo, atapata bahati ya OFFA NYINGINE KUBWA
ZAIDI YA VITABU NA VITU MBALIMBALI VIFUATAVYO;
1. KITABU: Tafsiri nzima ya
Think & Grow Rich(Fikiri Utajirike)
Ndio kitabu mashuhuri zaidi cha fedha na mafanikio kuwahi kuandikwa duniani
–cha Kiswahili & cha kiingereza
2. KITABU cha MICHANGANUO YA
BIASHARA NA UJASIRIAMALI -kwa
kiswahili
3. KITABU: Mifereji 7 ya pesa
na siri matajiri wasiyopenda kuitoa-kwa
kiswahili
4. KITABU mashuhuri zaidi
duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio
kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.-kwa
kiingereza
5. KITABU: Masomo
ya fedha yaliyofundishwa watsap Part 1
6. KITABU: Masomo ya fedha
yaliyofundishwa watsap Part 2
7. KITABU: Michanganuo
hatua kwa hatua, watsap, part 3
8. Semina ya siku 7 na mpango kamili wa
biashara ya usagishaji nafaka - unga wa dona(USADO Milling)
)-kwa kiswahili
9. Kifurushi cha michanganuo 3 ya ufugaji
wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS) kuku wa mayai, kuku wa
nyama na kuku wa kienyeji-zote
kwa kiswahili
10.
Mchanganuo
kamili wa kilimo cha Matikiti maji(KIBADA WATERMELON BUSINESS
PLAN) -kwa kiswahili
11.
Mchanganuo
wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) -kwa Kiswahili & kiingereza
12.
Mchanganuo
kamili wa Biashara: Kiwanda cha tofali za sementi(KILUVYA Bricks) -kwa Kiswahili
13.
Mchanganuo
kamili wa Biashara ya Chipsi(AMANI CHIPS CENTRE) -kwa Kiswahili
14.
Somo
maalumu la Mzunguko chanya wa fedha kwako binafsi na kwa
biashara yako-kwa
kiswahili
15.
Vielezo(Templates) za
michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. kwa Kiswahili & kiingereza
16.
Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA
SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti
mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
17.
Ukurasa
mmoja wa mchanganuo(One
page Business plan).(Njia fupi zaidi ya kuandika mchanganuo
wa biashara yako kwa nusu saa tu, na mfano)
18.
Mchanganuo mfupi wa biashara ya Steshenari (One page Business plan)
(NEEMA
STESHENARY) -kwa Kiswahili
19.
Vipengele / (Outlines) vya Mpango
wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwa kiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa
kuandika businee plan unaweza kuvifuatisha ukaandika.
20.
Kuungwa group la Michanganuo
la mentorship mwaka
mzima(michanganuo-online) unaweza kuuliza swali lolote lile muda wowote kuhusu
michanganuo na ujasiramali kwa ujumla
Hii
ndio OFFA yangu kubwa zaidi kutoa na haijawahi kutokea, na pengine haitatokea
tena. Kupata vitu vyote hivi 20 kwa gharama ya sh. Elfu 10 tu ni karibu kabisa
na kuvipata bure. Lengo langu la kutoa offa hii siyo kupata faida ya fedha bali
ni kupata washiriki wachache makini waliotayari kujiunga na mimi siku ya
Uzinduzi rasmi wa tafsiri ya Think and Grow Rich ifikapo 1/8/2020.
Washiriki
hao watapata fursa ya kuwa watu wa kwanza kabisa kukisoma kitabu hicho lakini
pia mwaliko wa Uzinduzi. Si lazima mtu ahudhurie uzinduzi huo, ni hiyari ya
mtu, unaweza ukajipatia Fikiri Utajirike chako pamoja na OFFA lakini
usihudhurie hamna mtu atakayekuuliza.
Kupata
OFFA yako ya vitu 20 kikiwemo kitabu cha Think & Grow Rich Kwa lugha ya
Kiwsahili, lipia sasa hivi sh. 10,000/= tu kwa kutumia namba zangu, 0765553030 au 0712202244 jina ni PETER
AUGUSTINO TARIMO na nitakutumia papo hapo kila kitu kwenye Simu au Compyuta
yako kwa Email huku ukisubiri sherehe ya uzinduzi kama utakuwa na nafasi siku
hiyo ya tarehe 1/8/2020
Kumbuka
tunahitaji watu wachache siku ya Uzinduzi ndiyo maana tumefupisha sana muda wa
hii OFFA, na ni kutokana na gharama kubwa za maandalizi ya shughuli hiyo, wahi
offa hii kwani wiki moja ni muda mfupi.
KAMA
UNAPENDA KUONJA KIDOGO LADHA YA SURA YA KWANZA YA FIKIRI UTAJIRIKE (THINK &GROW RICH KWA KISWAHILI) NA YALE
YALIYOMO NDANI YAKE BONYEZA HICHO KIUNGO UTAKIPAKUA MARA MOJA USOME.
Soma pia Makala zifuatazo;
1. Mapitio ya kitabu Think and Grow Rich kwa ufupi(Uchambuzi sanifu)
2. Soma sura na sehemu zote za kitabu cha Fikiri Utajirike (Think and Grow Rich hapa
2. Think and Grow Rich Kwa ufupi: Mapitio ya vitabu vya mafanikio(Books Review)
0 Response to "DOWNLOAD / PAKUA HAPA KITABU FIKIRI UTAJIRIKE (THINK AND GROW RICH) KWA KISWAHILI, SURA ZOTE 15 BURE"
Post a Comment