Maswali kama vile, Naomba kujua hatua za
kuanzisha biashara, namna ya kuanza biashara na mtaji mdogo, namna ya kuanzisha
biashara bila mtaji na mengine mengi.
Kuna msomaji wangu mmoja kwa kutumia email
alinitumia swali hili hapa chini namimi nikaona nilijibu kama ifuatavyo;
Je, ni hatua gani zinazofaa zaidi kuanzisha
biashara?
MAJIBU YA SWALI HILO KWA KIFUPI NI HAYA HAPA
CHINI;
1.
Tambua kwanza una
kipaji gani, taaluma, uzoefu au unapendelea zaidi kitu gani katika maisha yako
2.
Jiulize jamii
inayokuzunguka ina mahitaji gani au wana tatizo lipi linalohitaji suluhisho
3.
Fikiria au tafuta wazo
la biashara utakayoweza kuifanya kwa kutumia vigezo namba 1 & 2
4.
Fanya utafiti wa wazo
lako hilo la biashara kuulizia ujue kila kitu kinachohusiana nayo kipoje
5.
Andaa mpango wa
biashara ya wazo lako, siyo lazima uuandike mahali mpango huo, just tu unaweza ukaufikiria
kichwani utautekeleza-tekelezaje
6.
Tafuta/andaa
rasilimali zinazohitajika ukiwemo mtaji pesa, rasilimaliwatu na ujuzi.
7.
Anza kidogokidogo kwa
kutumia rasilimali ulizopata usisubiri mpaka upate kila kitu, vingine utapata
mbele kwa mbele
8.
Sajili biashara yako
mamlaka zinazohusika kisheria
9.
Endesha biashara
yako
10.
Tafuta nyenzo mbalimbali kama
vile wafanyakazi, mikopo au wabia pamoja na teknolojia mbalimbali ili ukue na
kutajirika
11.
Fungua matawi na
wekeza katika biashara nyingine tofautitofauti zinazolipa
12.
Andaa mapema mtu wa
kukurithi kwani binadamu hatuishi duniani milele.
Hatua mbalimbali
nilizozitaja hapo juu unaweza ukapata ufafanuzi wake kwa kirefu ndani ya kitabu
changu kiitwacho, MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI, kitabu ambacho kina
kila kitu mjasiriamali yeyote yule mdogo anayeanza na wale waliokwisha anza
lakini bado hawajafikia hatua za juu kuweza kufikia hatua hizo kwa urahisi
kabisa.
Kitabu hiki kinapatikana kwa njia ya email kama kitabupepe(Softcopy) kwa sh. Elfu 10 na pia kama kitabu cha kawaida cha karatasi(Hardcopy) kwa sh. Elfu 22
Kukipata wasiliana na mimi kwa Whatsap; 0765553030 au Simu/sms: 0712202244
Unaweza pia kukipata katika offa inayokaribia kuisha muda wake ambapo unapata vitu mbalimbali kikiwemo kitabu hiki(softcopy) pamoja na kuunganishwa na group la masomo ya kila siku la whatsaa la MICHANGANUO-ONLINE, lipia elfu 10 kwa namba 0765553030 kisha tuma ujumbe usemao; NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO PAMOJA NA OFFA INAYOKARIBIA KUISHA MUDA WAKE"
SOMA PIA MAKALA NYINGINE NZURI HAPA CHINI;
1. Jinsi kiwanda kidogo kinavyoweza kukutoa kimaisha na kuwa tajiri wa kutupa.
2. Biashara yenye mtaji mdogo isiyojulikana na watu wengi bado
3. Ni biashara ndogo yenye mtaji mdogo, faida ndogo lakini inayokua upesi.
4. Mwaka huu wa 2020, ishi kama Tai usikubali tena kuishi kama kunguru.

0 Response to "JINSI YA KUANZISHA BIASHARA: HATUA 12 MUHIMU ZAIDI ZA KUFUATA"
Post a Comment