Katika safu yetu ya maswali na
majibu leo, (Uliza ujibiwe) nitajibu swali la msomaji wetu mmoja aliyeuliza
kama ifuatavyo kupitia email,
Swali kama hili, tofauti ya chakula cha kukuwa kisasa na chakula cha kuku wa kienyeji nilishawahi kulijibu siku za nyuma (bonyeza
link ya swali hapo juu kusoma majibu yake) lakini kwa faida ya msomaji wetu huyo na pengine
mtu mwingine yeyote basi nitalijibu tena na kuongezea mambo machache,
Hamna tofauti kubwa sana kwani wote
kuku wa kienyeji na kuku wa nyama wanahitaji makundi yote makuu manne ya
vyakula, wanga protini, mafuta, madini na vitanimi bila ya kusahau maji.
Tofauti yake kubwa hutokana tu na jinsi kila aina ya kuku inavyoweza kupata
virutubisho hivyo. Wakati kuku wa kisasa wanatakiwa kupewa kila kitu na wewe
mfugaji, wale wa kienyeji wao hata usipowapatia virutubishi hivyo watakwenda
kuvitafuta wenyewe kwa kuchakura kwenye michanga/udongo na matakataka mengine.
Kimsingi kuku wa kienyeji unaweza
ukawalisha chakula cha kuku wa kisasa bila shida yeyote isipokuwa tu gharama
yake itakuwa kubwa kutokana na kuku wa kienyeji kuchukua muda mrefu zaidi
kubadilisha chakula kuwa nyama au mayai, hawakui haraka kama walivyo kuku wa
kisasa
Kwa maneno mengine ni kwamba kuku wa
kienyeji wana (high feed conversion ratio). Maana yake uwezo wao wa
kubadilisha haraka chakula wanachokula kuwa nyama ni mdogo ukilinganisha na
wale kuku wa kisasa. Feed conversion ratio
ndogo maana yake kuku wanabadilisha haraka chakula kuwa nyama
Food conversio ratio unachukua
chakula anachokula kuku unagawa kwa uzito wa kuku. sasa utaona kuku wa kienyeji
mpaka uje umchinje anaweza kula hata kilo 6 za chakula wakati wa kisasa anaweza
kula kilo 3. Ikiwa wote watachinjwa na uzito wa kilo 2 tuseme, feed cnversion
ratio ya kuku wa kienyeji itakuwa 6/2 = 3 wakati kuku wa kisasa ni 3/2 = 1.5,
hivyo ya kuku wa kisasa ni nzuri zaidi(low) ingawa wote watachinjwa wakiwa na
uzito sawa. Lakini pia ili kuku wa kienyeji afikishe uzito huo atakula chakula
kingi zaidi.
Kwa upande wa kuku wa kisasa wao
huwezi ukawalisha chakula kwa kutumia mtindo sawa na ule wa kulisha kuku wa
kienyeji kutokana na miili yao kutokuweza kuvumilia shida kama wenzao kuku wa
kienyeji. Ingawa wanaweza kupata virutubisho lakini hawawezi kujitafutia
wenyewe na hivyo kuishia kufa njaa na magojwa.
…………………………………………
Ili kufahamu vizuri faida na gharama
za ufugaji wa kuku wa aina zote, nimekuandalia michanganuo/business plans kwa
ajili ya kuku wa nyama(boroiler), kuku wa mayai (Layers) na kuku wa
kienyeji/asili. Michanganuo hii 3 nimeiita Kifurushi cha MKOMBOZI CHICKS PLAN
3PACKS
Bei ya
kifurushi cha michanganuo hii ni sh. Elfu 10 tu, na ukinunua kabla ya siku ya
Jumatatu tarehe 6/7/2020 utapata offa ya vitabu na michanganuo(vipo vitu/items
zaidi ya 20) ambavyo unatumiwa kwenye email yako. Mara tu unapomaliza kulipia
tuma ujumbe usemao; “NITUMIE KIFURUSHI CHA MKOMBOZI NA OFFA YA VITU 20” katika
Whatsapp: 0765553030 au kwa sms namba: 0712202244. Malipo tumia moja kati ya
hizo namba 2 na jina ni Peter Augustino Tarimo
Vitu/items
hizo ni hizi hapa chini;
1. KITABU: Tafsiri nzima ya
Think & Grow Rich(Fikiri Utajirike)
Ndio kitabu mashuhuri zaidi cha fedha na mafanikio kuwahi kuandikwa duniani
–cha Kiswahili & cha kiingereza
2. KITABU cha MICHANGANUO YA
BIASHARA NA UJASIRIAMALI -kwa kiswahili
3. KITABU: Mifereji 7 ya pesa
na siri matajiri wasiyopenda kuitoa-kwa
kiswahili
4. KITABU mashuhuri zaidi
duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio
kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.-kwa
kiingereza
5. KITABU: Masomo
ya fedha yaliyofundishwa watsap Part 1
6. KITABU: Masomo ya fedha
yaliyofundishwa watsap Part 2
7. KITABU: Michanganuo
hatua kwa hatua, watsap, part 3
8. Semina ya siku 7 na mpango kamili wa
biashara ya usagishaji nafaka - unga wa dona(USADO
Milling) )-kwa kiswahili
9. Kifurushi cha michanganuo 3 ya ufugaji
wa kuku(MKOMBOZI CHICKS PLAN 3PACKS) kuku wa mayai, kuku wa
nyama na kuku wa kienyeji-zote kwa
kiswahili
10.
Mchanganuo
kamili wa kilimo cha Matikiti maji(KIBADA WATERMELON BUSINESS
PLAN) -kwa kiswahili
11.
Mchanganuo
wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) -kwa Kiswahili & kiingereza
12.
Mchanganuo
kamili wa Biashara: Kiwanda cha tofali za sementi(KILUVYA Bricks) -kwa Kiswahili
13.
Mchanganuo
kamili wa Biashara ya Chipsi(AMANI CHIPS CENTRE) -kwa Kiswahili
14.
Somo
maalumu la Mzunguko chanya wa fedha kwako binafsi na kwa
biashara yako-kwa kiswahili
15.
Vielezo(Templates) za
michanganuo ya biashara inayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. kwa Kiswahili & kiingereza
16.
Mfumo
mpya wa usimamizi wa duka la rejareja(2 IN ONE STORE MANAGEMENTA
SYSTEM) unaomwezesha mmiliki wa duka dogo la rejareja au la kati kuthibiti
mapato yake pasipo msaidizi kudokoa hata senti 5
17.
Ukurasa
mmoja wa mchanganuo(One
page Business plan).(Njia fupi zaidi ya kuandika mchanganuo
wa biashara yako kwa nusu saa tu, na mfano)
18.
Mchanganuo mfupi wa biashara ya Steshenari (One page Business plan)
(NEEMA STESHENARY) -kwa Kiswahili
19.
Vipengele / (Outlines) vya Mpango
wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwa kiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa
kuandika businee plan unaweza kuvifuatisha ukaandika.
20.
Kuungwa group la Michanganuo
la mentorship mwaka
mzima(michanganuo-online) unaweza kuuliza swali lolote lile muda wowote kuhusu
michanganuo na ujasiramali kwa ujumla
0 Response to "Kuku wa kienyeji hubadilisha chakula kuwa nyama polepole zaidi kuliko kuku wa kisasa (high feed conversion ratio)"
Post a Comment