Ikiwa
umekuwa ukijiuliza mara kwa mara unaweza kufanya kitu gani ili uweze kuongeza
spidi yako ya kuingiza pesa kuliko vile ilivyokuwa sasa, basi leo hii umepata
majibu. Tunapozungumzia kuongeza kipato haijalishi una mtaji kidogo kiasi gani
kwani ni lazima uanzie mahali fulani, hata mtu mwenye shilingi elfu 5 tu
mfukoni anaweza kuanza kuwekeza kwa lengo la kuongeza uwezo wake wa kifedha na
kuwekeza hakuanzii tu na kufungua mradi/biashara moja kwa moja bali huanzia na
kuweka akiba kidogokidogo.
SOMA: Siri 10 alizotumia Aliko Dangote tajiri namba moja Afrika
Hivyo si lazima uwe millionea kwanza ndipo ujiite mwekezaji, kuna miradi mingi unayoweza hata kuanza kuwekeza kwa buku, buku mbili na kuendelea, tutaona huko mbele taratibu kwenye masomo yetu yajayo.....
Sawa, hebu sasa moja kwa moja twende kwenye zile tabia 9 nilizosema mtu unaweza kujifunza na ukabadilisha kabisa maisha yako kifedha, ni tabia ambazo mamilionea wengi tokea enzi na enzi wamekuwa wanajijengea katika maisha yao na kitu cha kustaajabisha ni kwamba hamna mtu yeyote anayekaa chini na kuanza kuwafundisha mmoja baada ya mwingine bali imegundulika tu ni tabia wanazoshea bila hata ya wao wenyewe kujua.
Sasa ikiwa sisi tunapata bahati ya kujifunza huku kwenye mitandao katika nyakati hizi za digitali basi hatuna budi kuzifanyia kazi ili ziweze kutusaidia kuongeza “kuspeed up” uwezo wetu wa kupata pesa. Hebu zicheki, je unaendana nazo? Ikiwa nyingine ulikuwa huna basi jaribu kuzipalilia halafu uone matokeo yake, niamini utakuja kunitafuta unipe ushuhuda! ;.............
................................................................................................................................................................................................................................
SOMA: Kwanini kundi la kushauriana(Mastermind group) ni muhimu kwa kila anayetafuta mafanikio?
.................................................
Mpenzi msomaji wa blogu yako hii ya jifunzeujasiriamali, somo hili lenye maudhui ya pesa litaendelea leo hii 10/06/2023 kwenye MASTERMIND GROUP la MICHANGANUO-ONLINE saa 3 usiku.
Blog yako hii itaendelea kukuwekea makala nzima bure mara kwa mara lakini pia utaona makala nusu kama hii ambazo huwa zina muendelezowake katika Group letu ambapo wanachama hulipia shilingi elfu 10 tu kwa mwaka mzima, gharama ambayo ukilinganisha na kwingineko ni karibu kabisa na bure.
Ukijiunga tunakutumia OFFA ya Vitabu na michanganuo ya biashara bure (Jumla ni vitu 12) lakini pia tunakutumia masomo mengine yote tuliyojifunza kwenye group tangu lianze masomo haya yaliyo na maudhui ya kifedha ni adimu kabisa hayapatikani kwingine kokote nje na ndani ya mtandao.
Ndani ya group mbali na masomo ya kila siku pia kuna semina za kuandika michanganuo ya biashara zenye fursa kubwa ya kulipa faida haraka pamoja na michanganuo mifupimifupi ya kiubunifu, nadhani ukijiunga utajionea mwenyewe na kufahamu vizuri kile ninachotaka kukuelezea hapa.
Group bado lina nafasi ingawa si nyingi kiasi cha mtu kuendelea kuchelewa kujiunga.
Ikiwa unawiwa kujiunga usisite, lipia sasa hivi kiingilio chako sh. elfu 10 kupitia namba zangu hizi hapa. 0765553030 au 0712202244 jina ni Peter Augustino Tarimo na nitakutumia kila kitu pamoja na kukuunganisha na group. Karibu sana tuweze kufanya mambo makubwa zaidi kama MASTERMIND GROUP LA KUSHAURIANA
VITU HIVYO 12 VYA OFFA NI
HIVI VIFUATAVYO;-
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa
kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Somo hii limeandaliwa na:
Peter Augustino Tarimo
Mtaalamu wa Michanganuo ya biashara aina zote
Phone/Watsap: 0765553030 au 0712202244
0 Response to "TABIA 9 ZITAKAZOBADILISHA KABISA MAISHA YAKO KIFEDHA"
Post a Comment