Fikiri na
Utajirike(Think and Grow Rich) ndiyo babu wa vitabu vingine vyote vya hamasa na
mafanikio duniani. Ndio kitabu cha kwanza kueleza kiini cha mafanikio na
utajiri wa watu ni nini kwa namna ambayo watu wengine wanaweza wakaiga na wao
kufanikiwa.
Kwa muda wa miaka 20
Napoleon Hill alifanya utafiti kwa kuwahoji watu matajiri na waliokuwa na
mafanikio makubwa kipindi chake wapatao 500. Miongoni mwao alikuwemo Andrew
Carnegie, Henry Ford, Charles Schwab, King Gillete, Alexander Graham Bell na
wengineo.
Kwa muda wa miaka 20
Napoleon Hill alifanya utafiti kwa kuwahoji watu matajiri na waliokuwa na
mafanikio makubwa kipindi chake wapatao 500. Miongoni mwao alikuwemo Andrew
Carnegie, Henry Ford, Charles Schwab, King Gillete, Alexander Graham Bell na
wengineo.
Kitabu hiki kimethibitisha pasi na shaka kuwa mtu yeyote anaweza akafanikiwa maishani bila kujali rangi yake, kabila, jinsia, dini, umri, elimu, hali ya kifedha, au kilema kingine chochote alichonacho.
“Binadamu anaweza kufanya au kuwa chochote kile atakacho, ilimradi tu kitu hicho anaweza kukifikiria akilini”.
Mafanikio Napoleon amemaanisha ni kitu chochote kile
unachokitaka maishani na wala siyo lazima iwe ni fedha tu peke yake.
Kwa mara ya kwanza
kabisa Think & Grow Rich kimetafsiriwa katika lugha adhimu ya Kiswahili na
mtu yeyote yule anaweza kujifunza Siri za mafanikio kupitia kanuni 13
zilizogunduliwa na Napoleon Hill katika mahojiano yake na watu hao mashuhuri
500. Kitabu hiki kwa takriban miaka zaidi ya 80 hakijapoteza maana wala kuchuja
maudhui yake yaliyokusudiwa na mwandishi.
Ni kwa njia ya
kukisoma tu ndipo mtu anaweza akagundua siri ni kwanini kitabu hiki kimeweza
muda wote kuendelea kubakia kuwa bora duniani miongoni mwa vitabu vingine vyote
vya fedha na mafanikio ya mtu binafsi.
JINSI
YA KUKIPATA KITABU CHA FIKIRI NA UTAJIRIKE NA BEI YAKE
HARDCOPY-Kitabu
halisi cha karatasi;-
1. Kwa Dar
es salaam tunakuletea ulipo kwa sh. 21,000/= au ukifuata mwenyewe Kwa wakala wetu
Mbezi-Kimara ni sh. 20,000/=tu
2. Mikoa
mingine tunatuma kwa njia ya mabasi na gharama inategemea ni basi lipi na mkoa ulipo, lakini mara nyingi huwa ni kuanzia sh. elfu 5 mpaka 10 mikoa ya mbali. Hivyo mteja atalipia gharama ya kitabu pamoja na kiasi kitakachotozwa na basi tu
SOFTCOPY-Kitabu-nakalatete
kwa njia ya simu-janja;-
1. Kupakua
kitabu kwenye Smartphone yako bonyeza link(kiungo) kifuatacho kisha baada ya
malipo utaweza kudownload kitabu chako muda huohuo. Bei yake ni sh. 15,000/=
FIKIRI
NA UTAJIRIKE(THINK AND GROW RICH-SWAHILI) E-BOOK
0 Response to "THINK AND GROW RICH KWA KISWAHILI(FIKIRI NA UTAJIRIKE)"
Post a Comment