Ufuatao ni muhtasari wa mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa wa kuku wa nyama(Broilers) katika lughaya ya kiswahili lakini pia kwa lighara ya Kiingereza. Michanganuo yote hii miwili inapatikana kwa kwa yeyote anayejiunga na offa yetu ya mwisho wa mwaka au kununua vitabu na michanganuo;
KWA KISWAHILI:
MCHANGANUO WA BIASHARA
TUMAINI POULTRY PRODUCTION
Kuku wa nyama 2000
KIROMO - BAGAMOYO ROAD
2022 – 2023
Umeandaliwa na:
S.L.P
Dar es salaa.
Simu: 0765553030
YALIYOMO
1.0 MUHTASARI TENDAJI............................................................................03
1.1 Dhamira Kuu.................................................................................................04
1.2 Maono............................................................................................................04
1.3 Malengo.........................................................................................................04
2.0 Maelezo ya Kampuni.....................................................................................05
3.0 MAOMBI YA MKOPO.................................................................................06
4.0 MAELEZO YA BIDHAA..............................................................................07
5.0 TATHMINI YA SOKO...................................................................................07
5.2 Sekta ya Kuku................................................................................................08
5.3 Mahitaji ya Soko............................................................................................08
6.0 MPANGO WA UENDESHAJI......................................................................08
7.0 UONGOZI......................................................................................................11
8.0 MPANGO WA FEDHA..................................................................................11
8.1 Makisio Muhimu............................................................................................12
8.2 Mahitaji..........................................................................................................12
8.3 Makisio ya Faida na Hasara...........................................................................14
HITIMISHO......................................................................................................14
MUHTASARI TENDAJI
Kampuni ya Tumaini
Poultry Production inalenga kuongeza uzalishaji wake wa kuku wa nyama kwa
kuomba mkopo wa benki shilingi milioni 5 utakaorejeshwa ndani ya mwaka mmoja
ikiwa na dira ya kuwa mzalishaji bora zaidi wa kuku kandokando ya barabara ya
Bagamoyo eneo lenye vivutio vingi vya utalii na hoteli za nyota 5
Mmiliki wake Bwana
Tumaini Masanja alianzisha kampuni hii miaka 2 iliyopita katika eneo la Kiromo
lililopo kandokando ya barabaraya
Bagamoyo akianza na vifaranga wa siku moja 1000 katika mzunguko wa siku 44.
Kutokana na ukuaji wa kasi wa soko letu lengwa tumeshuhudia ufinyu wa mtaji,
hivyo mkopo wa benki tunaouomba tutanunulia vifaranga wa nyongeza 1000, vyakula
vya kuku hao na vilishio 50.
Tunayalenga hasahasa
makundi makuu 3 ya wateja ambayo ni Mahoteli & Migahawa, Supermarketi na
Machinjio ya kuku. Mahitaji ya nyama ya kuku Tanzania sasa hivi yapo juu
kutokana na Serikali kuweka zuio la uingizaji mazao ya kuku kutoka nje ya nchi.
Uzalishaji utafanyika
kwa mzunguko na idadi ya mizunguko kwa mwaka ni 8 ukizingatia kipindi cha
uzakishaji cha siku 32 na siku 12 za usafi wa mabanda kabla mzunguko mpya kuanza.
Msimamizi mkuu wa mradi ni Bwana Tumaini akisaidiwa na wafanyakazi 2
watakaolipwa kila mmoja shilingi laki 1 kwa kila mzunguko mmoja
Jumla ya mahitaji yote
ni shilingi milioni12, mauzo ya mwaka shilingi milioni 104.4 na faida halisi
shilingi milioni 8.2. Hivyo mradi huu una faida na mkopo utaweza kurejeshwa bila
matatizo ndani ya mwaka mmoja.
Kwa
Ufupi
1.1
DHAMIRA KUU.
Dhamira kuu ya
Tumaini Poultry ni kuzalisha na kusambaza bidhaa za kuku zilizosheheni
virutubishi na protini kwa wateja wake katika eneo lililopo kandokando ya
barabara ya Bagamoyo, Mahoteli ya karibu na Masoko mengine mbalimbali nchini.
ORODHA YA VITU (ITEMS) PAPO KWA HAPO VYA OFFA KUBWA NA YA MWISHO KWA MWAKA 2021;
1. KITABU: THINK & GROW RICH – SWAHILI EDITION –kiswahili
2. KITABU: MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIANALI (New special Edition 2021) - kiswahili
3. KITABU: MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA - Kiswahili
4. KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA – kiswahili
5. KITABU: SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA PESA NA MAFANIKIO KWA UFANISI– kiswahili
6. KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN kwa lugha ya kiingereza, ndio kinachotumika vyuo vikuu vingi duniani.- kiingereza
7. Semina nzima ya siku 4 na Mchanganuo wa biashara ya ufugaji wa kuku wa Mayai kuomba mkopo benki. -kiswahili
8. Semina nzima ya siku 7 na mpango kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –unga wa dona(USADO Milling))-kwa kiswahili
9. Mchanganuo kamili wa kilimo cha Matikitimaji (KIBADA WATERMELON BUSINESS PLAN) -kiswahili
10. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa Kiswahili & kiingereza
11. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
12. Mchanganuo kamili wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE) -kwaKiswahili
13. Vielezo(Templates) za michanganuo ya biashara vinayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi.- Kiswahili & kiingereza
14. Mchanganuo mfupi wa biashara ya Steshenari (One page Business plan) (NEEMA STESHENARY) -kwa Kiswahili
15. Vipengele / (Outlines) vya Mpango wowote ule wa Biashara kwa kiswahili na kwakiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika business plan unaweza kuvifuatisha ukaandika.
16. Kuungwa group la Michanganuo la mentorship mwaka mzima 2022 (MICHANGANUO-ONLINE) unaweza kuuliza swali lolote lile muda wowote kuhusu michanganuo na ujasiramali kwa ujumla
0 Response to "MPANGO WA BIASHARA YA KUKU WA NYAMA BROILERS - KISWAHILI NA KIINGEREZA"
Post a Comment