Kutokana na biashara hii kuzidi kushika kasi ushindani
umekuwa mkubwa sana jambo linalofanya baadhi ya wafanyabiashara ya dagaa mchele na samaki
kujikuta wakipata faida kidogo hivyo kufanya biashara ileile miaka yote pasipo
kupiga hatua ya maana.
Hata hivyo pamoja na changamoto hii bado wapo baadhi ya
wajasiriamali wanaotoboa kiurahisi sana na biashara hii. Ni mbinu zipi wanazozitumia,
hakikisha unasoma makala hii mpaka mwisho uweze kufahamu.
Uzuri
na faida za kufanya Biashara ya kuuza dagaa mchele na Samaki wa maji chumvi
· Katika
miji kama Dar es salaa, Tanga, Zanzibar na Mtwara wakaazi wake wengi hupendelea
kitoweo cha dagaa mchele au samaki kama mboga.
· Dagaa
mchele ni watamu na wana ladha ya kupendeza mdomoni.
· Ni
mboga rahisi kuandaa, mtu anaweza asiwaunge mchuzi na kuamua kurumangia
hivyohivyo na ugali.
· Upatikanaji
wake ni rahisi kwani kila siku wavuvi huvua dagaa na samaki baharini
· Ni
biashara endelevu, dagaa na samaki kila siku wapo
· Bei
ya fungu la dagaa ni ndogo kuanzia sh. 1,000/= na hivyo kila mtu anaweza
kununua.
Changamoto
za biashara ya Dagaa mchele na Samaki wa
majichumvi
· Ushindani
mkali hasa kwa wafanyabiashara wadogowadogo
· Ni
biashara inayotegemea msimu, kuna msimu dagaa na samaki huwa wengi na misimu mingine
wanakuwa kidogo hivyo kusababisha bei nazo kubadilikabadilika.
· Kuharibika
haraka-Dagaa na samaki huvuliwa wabichi hivyo wasipohifadhiwa kwenye barafu wanaweza
kusababisha hasara kubwa wakiharibika.
………………………………………Somo na Mchanganuo kamili vinapatikana Michanganuo-online.
Kwa mchanganuo kamili wa biashara ya dagaa mchele na
samaki zikiwemo mbinu na mikakati bunifu ya jinsi mtu unaweza kufanikiwa haraka
katika biashara hii, ungana na mimi leo tarehe 6/01/2022 katika Group la
Michanganuo-online saa 2 – 3 usiku.
Tutakuwa na Biashara bunifu kila siku kwenye group hili
na lengo kubwa likiwa ni kuchochea wajasiriamali kubadilisha staili zao za
kufanya biashara walizozizoea kila siku ambazo haziwapi fursa ya kutengeneza
faida nyingi na haraka.
Kujiunga na Group hili Tuna kiingilio cha shilingi elfu
10 kwa mwaka mzima na ukiwahi OFFA ya mwakampya kabla haijamalizika tarehe
10/01/2022 Utapata Vitabu na Michanganuo yote hapo chini.
Group lina channel ya Telegramu unayoweza kupata pia
masomo yote ya zamani tuliyojifunza.
Namba za kulipia ni 0765553030 au 0712202244 Peter Augustino
OFFA YA VITABU NA MICHANGANUO INAYOISHA RASMI TAREHE 10/01/2022
1. KITABU:
THINK & GROW RICH-SWAHILI EDITION–cha
kiswahili
2. KITABU cha MICHANGANUO YA
BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili
3. KITABU:
MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA –cha
kiswahili
4. KITABU:
MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili
5. KITABU:
SIRI YA KUJIFUNZA ELIMU YA FEDHA NA MAFANIKIO–cha
kiswahili
6. KITABU mashuhuri
zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN
ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha
kiingereza
7. Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji
nafaka –(USADO Milling))-kwakiswahili
8. Michanganuo 3 ya ufugaji wa kuku,
kuku wa mayai, kuku wa nyama na kuku wakienyeji-yote
kwa kiswahili
9. Mchanganuo kamili wa kilimo cha tikitimaji
(KIBADA
WATERMELON)-kwa kiswahili
10. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE
RESTAURANT) –kwa Kiswahili
& kiingereza
11. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda
cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
12. Mchanganuo kamili wa Biashara ya Chipsi (AMANI
CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili
13. Vielezo vya michanganuo
ya biashara vinayokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. -Kwa Kiswahili & kiingereza
14. Mchanganuo mfupi wa biashara
ya Steshenari (One page Business plan) (NEEMA STESHENARY) -kwa
Kiswahili
15. Vipengele vya Mpango wowote
ule wa Biashara kwa kiswahili na kwakiingereza. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika
busiMchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika.
16. Somo
maalumu la mzunguko wa fedha. -Kwa
Kiswahili
17. Kunganishwa group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima
0 Response to "BIASHARAYA KUUZA DAGAA MCHELE NA SAMAKI WA MAJICHUMVI KIUBUNIFU: MCHANGANUO"
Post a Comment