Katika somo letu la siku ya leo tutakwenda kujifunza vitu vifuatavyo;-
1) Unaanzaje kuandika
mpango wa biashara?
2) Mawazo utayatoa wapi?
3) Utafiti wa soko/biashara
au feasibility study
4) Vipengele/sehemu za
mpango wa biashara
5) Ni kipengele kipi huanza
na ni kipi humalizia.
(i) Unaanzaje kuandika mpango wa
biashara?
(ii) Mawazo unayatoa wapi?
Ukitaka
kuandika mpango wa biashara maswali hayo mawili ni lazima ujiulize.
Na
jibu lake kwa kifupi kabisa ni kwamba kabla hujaanza kuandika mchanganuo wako
wa biashara ni lazima kwanza ufanye kitu kinachoitwa UTAFITI, upembuzi yakinifu
au feasibility study
(iii) Utafiti wa soko au feasibility study
Utafiti wa biashara kwa maana nyingine
unaweza ukauita Upembuzi yakinifu, wengine huita utafiti wa soko nk. ni
uchunguzi wa maswala mbalimbali yanayohusiana na biashara unayotaka kuifanya au
hata ambayo tayari umeshaianza ili kupata majibu yatakayokuwezesha kutekeleza
biashara yenyewe.
Mfano rahisi kabisa hata ikiwa mtu huna wazo
la kufanya utafiti lakini kama unaanza biashara fulani bila shaka ni lazima………………….
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Mpendwa mfuatiliaji wa masomo haya utaniwia radhi kwa kukatisha somo hili, lengo langu ni kupata watu sahihi waliokuwa na nia ya kujifunza haya masomo kwa dhati kabisa kuliko kuyaweka hapa yote ambapo wapo pia wasiokuwa na ‘interest’ nayo. Kwa maana hiyo nakukaribisha sana tukutane katika Group letu, MICHANGANUO-ONLINE MASTERMIND GROUP kwa ada ndogo sana shilingi elfu 10 tu na hii ni ya mwaka mzima.Ukilinganisha faida na vitu utakavyopata ada hii ni sawa na kujiunga bure!
Lipia kwa namba 0765553030
AU 0712202244 jina Peter Augustino
Tarimo nikuunge sasa hivi na kukutumia OFFA yako ya vitabu ba michanganuo jumla vitu 20 kabla haijaisha au kujaa.
Kumbuka tunahitaji watu 30 tu. Kishatuma neno. “NATAKA SEMINA 2022 NA VITU 20” nitakuunganisha mara moja.
Na vifuatavyo ndiyo vitu(Items) 20 nitakavyokutumia inbox punde tu baada ya malipo ya ada sh elfu 10;-
1. KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha kiswahili
2. KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili
3. KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili
4. KITABU mashuhuri zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza
5. KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza
6. Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili
7. Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili
8. Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili
9. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili
10. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiingereza
11. Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili
12. Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili
13. Mchanganuo kamili wa kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili
14. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili
15. Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza
16. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
17. Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili
18. Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili
19. Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza
20. Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili
21. Kunganishwa group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima.
Kumbuka mwisho wa offa hii ni tarehe 30/5/2022 na watu wakitimia 30 tu itakwisha hata kabla ya siku hiyo kufika. Tafadhali mjulishe na yeyote unayemjali juu ya habari hizi njema.
Ni mimi,
Peter .A.Tarimo
Mfasiri wa Kitabu cha Think & Grow Rich kwa kiswahili, Mtaalamu wa Michanganuo ya Biashara na pia Mwandishi wa vitabu na makala za Biashara na Ujasiriamali.
0 Response to "JINSI YA KUANZA KUANDIKA MCHANGANUO WA BIASHARA YAKO"
Post a Comment