SOMO LA TATU
Tutakwenda kujifunza vitu vikubwa 3
ambavyo ni;
KASHA LA NJE, KICHWA CHA MCHANGANUO NA YALIYOMO
Kurasa hizi
tatu, jalada la nje, kichwa cha mpango wa biashara na yaliyomo ni vitu muhimu
na hutangulia kabla ya vipengele vyenyewe rasmi kuanza.
Jalada la nje (cover page)
Vitu muhimu vinavyopaswa kuonekana juu ya jalada la nje ni hivi
hapa chini;
(i)
Jina la biashara ambalo pia ndiyo
kichwa cha habari cha mchanganuo wenyewe
(ii)
Tarehe na mwaka wa kuandikwa
mchanganuo huo
(iii)
Anuani ya biashara pamoja na
(iv)
Anuani au jina la
mwandishi/majina ya waandishi
Kichwa cha mchanganuo………………..
……………………………somo linaendelea Michanganuo-online
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Kumradhi mpendwa unayefuatilia Semina yetu hapa pamoja na masomo mengine tunayoweka hapa katika blogu yako hii, hatuna nia mbaya kukatisha masomo haya ya semina bali lengo letu ni kuhakikisha tunapata watu sahihi walio na nia ya dhati kusoma masomo haya mwaka mzima. Ikiwa wewe ni miongoni mwao basi lipia kiingilio chako shilingi 10,000/= kwa mwaka mzima kupitia moja ya namba zetu hizi, 0712202244 au 0765553030 jina Peter Augustino Tarimo na utaweza kujiunga na familia ya Wanamichanganuo-online kusoma masomo haya kwa kina zaidi.
Katika MSTERMIND GROUP letu hilo wadau huuliza maswali na kuchangia mada mbalimbali hata na mada nyingine ambazo zipo nje ya mada husika, kwa mfano jana kabla ya kuanza hili somo kuna mdau mmoja aliuliza kuhusiana na biashara ya duka la rejareja pasipo kufahamu kuuliza swali lile kwenye group letu ilikuwa ni sawa na Mbuzi kufia kwa muuza supu kwani alinikuta moja kwa moja mhusika mwenyewe mtunzi wa kitabu cha MAFANIKIO YA BIASHARA YA DUKA LA REJAREJA.
Aliuliza hivi; “Naomba uzoefu kidogo kwa anayefanya biashara ya duka la jumla na rejareja” na mimi nikampa majibu kama post hiyo inavyoelezea, isome uone familia yetu ilivyokuwa active na hamna swali au mjadala unaoshindikana mbele ya Mastermindogroup kwani tofauti na magroup mengine ya kawaida sisi hatuna makocha wala waalimu bali wawezeshaji na kila mtu katika group ni mwezeshaji ana hadhi sawa na mwenzake huku kila mtu akijifunza toka kwa mwenzake. Group hili hutumia mbinu zilezile alizokuwa akitumia Napoleo Hill wa kitabu cha Think and Grow Rich katika magroup yake enzi zake
Siku ya leo usiku saa 3 – 4 tutaendelea na sehemu ya nne ya semina yetu na kichwa cha somo kinahusu MUHTASARI TENDAJI. Ikiwa unahitaji masomo haya tafadhali usikose kulipia kiingilio chako shilingi elfu 10 mapema kabla ya tarehe 30/5/2022 siku ya mwisho wa offa kisha Ujumbe wa “NATAKA SEMINA YA MICHANGANUO NA OFFA YA VITU 20” Nitakuunganisha muda huohuo na kukutumia mara moja vitabu na michanganuo ifuatayo;-
1.
KITABU cha
MICHANGANUO YA BIASHARA NA UJASIRIAMALI –cha
kiswahili
2.
KITABU: Jinsi ya kuandika mchanganuo mfupi wa
biashara (One Page Business Plan) -cha
kiswahili
3.
KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA SIRI MATAJIRI
WASIYOPENDA KUITOA –cha kiswahili
4.
KITABU
mashuhuri
zaidi duniani, HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN
ndio hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha kiingereza
5.
KITABU
cha
mwandishi Tim Berry cha JINSI YA
KUANDIKA MPANGO WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza
6.
Mchanganuo wa biashara: Kiwanda kidogo cha
kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili
7.
Mchanganuo wa Kikundi cha Kinamama: Biashara
ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili
8.
Mchanganuo
kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili
9.
Mchanganuo
Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama-
kwa kiswahili
10. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku
wa nyama- kwa
kiingereza
11. Mchanganuo
Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai -
kwa kiswahili
12. Mchanganuo
Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa kiswahili
13. Mchanganuo kamili wa kilimo cha
matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili
14. Mchanganuo wa biashara ya mgahawa(JANE
RESTAURANT) –kwa kiswahili
15. Mchanganuo
wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa
kiingereza
16. Mchanganuo kamili wa Biashara ya kiwanda
cha tofali za sementi (KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
17. Mchanganuo wa Biashara ya Chipsi (AMANI
CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili
18. Kielezo cha mchanganuo
wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili
19. Kielezo
cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa
kiingereza
20. Somo
maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili
21. Kunganishwa
group na Channel ya Michanganuo-online mwaka mzima.
OFFA hii inaweza isifike tarehe
30/05/2022 kutokana na nafasi za watu 30 zilizotengwa kuweza kutimia muda
wowote.Ikiwezekana lipia sasa hivi kuondoa uwezekanao wa kuja kujilaumu ikiwa
kweli kama umehamasika kujiunga na familia yetu na masomo haya. Namba za malipo
ni 0712202244 au 0765553030
jina ni Peter Augustino Tarimo
0 Response to "SOMO LA 3-COVER PAGE, KICHWA CHA HABARI NA YALIYOMO"
Post a Comment