SOMO LA 9
6.0 UONGOZI NA WAFANYAKAZI
Watu ndio wanaosababisha kampuni au biashara iweze kufanya kazi au
kutokufanya kazi. Bila watu watakaofanya kazi hakuna biashara hata ikiwa
kampuni ina mtaji mkubwa na rasilimali nyingine nyingi kiasi gani. Katika
sehemu hii ndipo unapotakiwa ueleze mfumo wa utawala au uongozi wa kampuni
yako, wahusika wakuu wanaosimamia shughuli za kila siku pamoja na wafanyakazi
wengine na wasifu wao.
Sura hii huanza
kama ilivyokuwa sura nyingine kwa muhtasari ambao utatakiwa uandike yale mambo
muhimu kama vile waanzilishi, biashara itaajiri watu wangapi akiwemo meneja/mameneja
pamoja na mapungufu ya wafanyakazi kama yapo, na huandikwa baada ya kumaliza
sura yote kwanza.
Kwenye sehemu
hii ya Uongozi na wafanyakazi, huwa kunakuwa na vipengele vidogo vifuatavyo;
6.1 Waanzilishi wa biashara
6.2 Mfumo wa utawala
6.3 Chati ya utawala
6.4 Pengo la utawala
6.5 Mpango wa
malipo
6.1 Waanzilishi
Taja waanzilishi wa biashara, na kama ni wewe mwenyewe sema, huku
ukielezea historia zao na wasifu wao,…………………..
…………………….Inaendelea kwenye group la Michanganuo-online
Semina hii iliyofanyika
katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda wowote ule katika
mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload katika channel
yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox katika watsap
ama email yako.
Kama unahitaji kupata
semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi kufundishwa katika group
letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio chako sh. Elfu 10 tu na ada
hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.
Kulipia tumia namba
zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe watsap
au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”
0 Response to "MAELEZO KUHUSU UONGOZI NA WAFANYAKAZI"
Post a Comment