SOMO LA 4
1.0 MUHTASARI TENDAJI
Kwenye
somo letu hili la nne tutajifunza mambo muhimu yafuatayo hapa chini;-
· Ni vitu gani muhimu
vinavyounda Muhtasari?
· Mifano ya mihutasari
ya michanganio mbalimbali
· Aina za muhtasari
· Muda muafaka wa kuandika
Muhtasari
· Mbinu za kuandika
Muhtasari utakaomfanya msomaji yeyote asiweze kukwepa kusoma mpango wako mzima.
Katika mlolongo wa sehemu au
vipengele vya mpango rasmi wa biashara, Muhtasari au unaweza ukauita Muhtasari
Tendaji, unahesabika kama sehemu ya kwanza ya mchanganuo wa biashara yako baada
ya Jalada la nje, Jina la mchanganuo na yaliyomo. Ndiyo sehemu muhimu zaidi
kwani ndiyo msomaji anayokutana nayo kwa mara ya kwanza kabisa. Isipomvutia
basi anaweza asiendelee kusoma sehemu nyingine za mchanganuo wako…………Inaendelea
kwenye group la Michanganuo-online
Semina
hii iliyofanyika katika group la Michanganuo-online unaweza ukaipata muda
wowote ule katika mfumo wa e-book ukiwa mwanachama wa group hilo. Unaidownload
katika channel yetu ya telegram au pia tunaweza kukutumia moja kwa moja inbox
katika watsap ama email yako.
Kama
unahitaji kupata semina hii pamoja na masomo mengine yote yaliyowahi
kufundishwa katika group letu zaidi ya masomo 70 jiunge kwa kutoa kiingilio
chako sh. Elfu 10 tu na ada hii ni ya miezi 12/mwaka mzima.
Kulipia
tumia namba zetu, 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino Tarimo na
ujumbe watsap au sms usemao “NATAKA SEMINA KUBWA YA KUANDIKA MICHANGANUO”
0 Response to "MHTASARI TENDAJI KATIKA MPANGO WA BIASHARA-SOMO LA 04"
Post a Comment