Chapati na supu ni miongoni mwa vyakula vinavyoandaliwa
katika migahawa au maeneo mengine ya kuuzia vyakula lakini wakati mwingine
vinaweza kusimama kama biashara ya mtaji mdogo inayojitegemea na mtu akauza
supu na chapatti tu bila ya kuuza na aina nyinginezo za vyakula.
Ni biashara maarufu sana kwenye mitaa ya miji mbalimbali
kama vile Dar es salaam, Arusha, Mbeya, Mwanza na miji mingineyo. Umaarufu wake
unatokana na sababu kwamba watu wengi hupendelea sana kula supu na chapatti
hasa nyakati za asubuhi kama kifungua kinywa.
SOMA: Biashara ya mgahawa wa chakula, mchanganuo na mtaji mdogo wa kuanza
Hata hivyo supu na chapatu huweza kuliwa muda wowote ule
bila ya kujali kama ni asubuhi, mchana au jioni. Kwa mfano katika mitaa kuzunguka
Stendi kuu ya mabasi ya Magufuli, Mbezi
jijini Dar es salaam utakuta muda wa jioni watu wengi wakiwa wameketi kwenye
vibanda vidogovidogo walifurahia kula chapatti na supu za aina mbalimbali kama
vile supu ya ngombe, mbuzi, supu ya kuku, utumbo na hata supu ya kongoro na
vichwa vya mbuzi au ngombe. Wapo pia wanaopendelea chapati kwa maharage.
Ni biashara ambayo kwa haraka haraka mtu unaweza
kufikiria ni rahisi sana kuanzisha lakini ugumu wake upo sehemu moja tu, jinsi
ya kuweza kutengeneza chapati tamu laini na supu yenye ladha ya kupendeza
vinavyoweza kumfanya mteja arudi tena na tena. Ukimudu hitaji hili la
msingi basi utaweza kutengeneza faida ya kutosha kwenye biashara hii.
SOAMA: Biashara ya chakula usipokuwa msafi utaiona chungu
Lengo kuu la makala haya ni kuonyesha njia na mbinu
sahihi za kutengeneza vyakula hivi, supu na chapatti na kupata matokeo bora
kabisa bila ya kubahatisha. Wapishi wengi ukiwauliza ni vipi wanaweza kupika
chapatti laini za kuvutia hawawezi kukupa moja kwa moja majibu yaliyonyooka, si
kama hawajui kabisa hapana, bali wanapika chapatti na supu kwa kubahatisha na
ndio maana utakuta leo wanapika chapatti laini, kesho ngumu, siku nyingne za
wastani, basi, hawana formula/kanuni maalumu inayoweza kuwahakikishia chapatti zao
zinakuwa bora na laini kila siku.
Kwahiyo ikiwa utapenda kufahamu siri za ndani kabisa za
kupika chakula hiki kitamu, chapatti laini na supu kila siku, hakikisha
unafutatilia makala yangu hii mpaka mwisho katika MASTERMIND GROUP LA
MICHANGANUO-ONLINE 2023, ingawa pia hapa katika blogu ya jifunzeujasiriamali
tutaweka dondoo chachechache kama hizi.
SOMA: Unajua biashara ya chipsi kuku, soda inavyolipa Dar?
Kujiunga na Group ya watsap na Channel yetu ya Telegram
ya masomo yaliyopita zaidi ya 80 lipia kiingilio cha mwaka mzima shilingi elfu
10 tu kupitia namba zetu hizi, 0712202244 au 0765553030 jina Peter Augstino Tarimo
Ukilipia mapema kabla nafasi hazijajaa unapata
ZAWADI/OFFA ya kufunga mwaka ya vitabu na Michanganuo ya biashara/Business
Plans, jumla vitu 22 katika mfumo wa nakalatete kwenye simu yako au kompyuta.
Baada ya kulipa sh. 10,000/= nitumie ujumbe ufuatao;
“NATAKA OFFA YA MWISHO WA MWAKA YA VITU 22”
Tuma na anuani yako ya email.
ZAWADI HIYOYA KUFUNGIA MWAKA 2022, VITABU NA MICHANGANUO JUMLA VITU
22 NI HII IFUATAYO;
1.
KITABU cha MICHANGANUO YA BIASHARA NA
UJASIRIAMALI –cha kiswahili
2.
KITABU: Jinsi ya kuandika
mchanganuo mfupi wa biashara (One Page Business Plan) -cha kiswahili
3.
KITABU: MIFEREJI 7 YA PESA NA
SIRI MATAJIRI WASIYOPENDA KUITOA –cha
kiswahili
4.
KITABU mashuhuri zaidi duniani,
HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ndio
hutumika vyuo vikuu vingi duniani.-cha
kiingereza
5.
KITABU cha mwandishi Tim Berry cha JINSI YA KUANDIKA MPANGO
WA BIASHARA, ni mwandishi nguli wa Michanganuo Duniani -cha kiingereza
6.
Mchanganuo wa biashara: Kiwanda
kidogo cha kutengeneza mvinyo/wine na Juisi ya Rosella -kiswahili
7.
Mchanganuo wa Kikundi cha
Kinamama: Biashara ya kiwanda cha kukoboa mpunga -kiswahili
8.
Mchanganuo kamili wa biashara ya usagishaji nafaka –(USADO Milling))-kiswahili
9.
Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa wa kuku wa nyama- kwa kiswahili
10. Mchanganuo Biashara ya ufugajiwa
wa kuku wa nyama- kwa kiingereza
11. Mchanganuo Biashahara ya Ufugaji wa kuku wa mayai - kwa kiswahili
12. Mchanganuo Biashara ya ufugaji wa kuku wa kienyeji – kwa
kiswahili
13. Mchanganuo kamili wa
kilimo cha matikitimaji (KIBADA WATERMELON)-kwa kiswahili
14. Mchanganuo wa biashara ya
mgahawa(JANE RESTAURANT) –kwa kiswahili
15. Mchanganuo wa Biashara ya mgahawa (JANE RESTAURANT) –kwa kiingereza
16. Mchanganuo kamili wa
Biashara ya kiwanda cha tofali za sementi
(KILUVYA Bricks)-kwa Kiswahili
17. Mchanganuo wa Biashara ya
Chipsi (AMANI CHIPS CENTRE)-kwaKiswahili
18. Kielezo cha mchanganuo wa biashara (template) kinachokuwezesha kuandika
michanganuo kwa muda mfupi. Hata ikiwa hujui kabisa kuandika Mchanganuo unaweza kuvifuatisha ukaandika -Kwa Kiswahili
19. Kielezo cha mchanganuo wa biashara(template) –kwa kiingereza
20. Somo maalumu kabisa la Mzunguko wa fedha kwenye biashara yako -kiswahili
21. KITABU CHA SEMINA: Masomo 11 ya
michanganuo ya Biashara
22. Kujiunga GROUP LA WHATSAP & TELEGRAM LA MICHANGANUO-ONLINE
Ukishajipatia zawadi hii na pia kama ungependa kupata na kitabu
cha THINK
& GROW RICH nakala ya Kiswahili, na una Smartphone unaweza
kujipatia kwa shilingi elfu 5 tu badala ya sh. elfu 10 bei ya kawaida. Maelezo
zaidi ya namna ya kukipata tuwasiliane nikupatie. Kama hujajipatia offa hiyo
hapo juu bei ya kitabu FIKIRI & UTAJIRIKE inabakia kuwa sh. Elfu 10 kama
kawaida.
Offa kama hizi huwa tunazitoa mara chache sana hivyo
nakuomba ikiwa upo makini na masomo ninayoyatoa basi ni fursa ya kipekee
kujipatia mafunzo hayo kwa kina kwa gharama hii karibu na bure
0 Response to "BIASHARA YA SUPU NA CHAPATI"
Post a Comment