KANUNI NA SAYANSI ILIYOKUWA NYUMA YA UPISHI WA CHAPATI | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KANUNI NA SAYANSI ILIYOKUWA NYUMA YA UPISHI WA CHAPATI

sayansi ya chapati
Ndani ya unga wa ngano na shayiri kuna kemikali(protein) moja ijulikanayo kama Gluten ambayo hujitengeneza pale unga unapochanganywa na maji na kukandwa.  Kwa kadiri unavyokanda unga ndivyo na gluten nayo inavyoongezeka hivyo kuufanya unga uvutike na kunyooka, na hii ndiyo huufanya unga wa ngano ukitiwa katika maji uvutike tofauti na unga wa mahindi au nafaka nyinginezo.

SOMA: Uzoefu wangu kwenye biashara ya supu na chapati laini za kusukuma

Unapokanda unga gluteni huongezeka na kulifanya donge la unga kuwa nyororo na la kuvutika. Lakini pia ukikanda unga sana kupita kiasi  napo husababisha chapati kuwa ngumu kwani gluteni iliyopitiliza nayo huufanya unga kuwa mgumu.

SOMA: Biashara ya mgahawa wa chakula, mchanganuo na mtaji mdogo wa kuanza

Gluteni katika unga hutegemea vitu hivi 4; ukandaji, aina ya unga, kiasi cha maji, na mafuta. Mafuta nayo yakizidi sana huzuia utengenezaji wa gluten....

.......................................................................

Ikiwa unataka kujua kwa kina kanuni na sayansi iliyokuwa nyuma ya utengenezaji wa chapati laini na tamu usikose mfululizo wa masomo kwenye group la Michanganuo-online au wasiliana nasi kupata kitabu cha biashara hii chenye mfululizo mzima.

Simu/Whatsap: 0712202244 au 0765553030

 

0 Response to "KANUNI NA SAYANSI ILIYOKUWA NYUMA YA UPISHI WA CHAPATI"

Post a Comment