KWANINI KAMA HUIPENDI AJIRA YAKO BADO TU UNAENDELEA KUIFANYA? | JIFUNZE UJASIRIAMALI

KWANINI KAMA HUIPENDI AJIRA YAKO BADO TU UNAENDELEA KUIFANYA?

Fanya jaribio la kuwachukua watu kama 40 hivi wenye kazi zao(ajira) na taaluma mbalimbali mchanganyiko na wajasiriamali wanaofanya biashara zao binafsi. Kisha waweke katika darasa moja kama unawapa semina vile halafu waulize swali lifuatalo; JE, UNAPENDA KILE UNACHOFANYA SASA HIVI? Ukimaanisha kazi wanazozifanya na kuwataka wanyoshe kidole juu kama jibu ni ndiyo.


Haitashangaza kuona wakinyosha vidole watu wachache sana na pengine hata usione kidole hata kimoja kilichonyooshwa juu. Sasa unaweza ukajiuliza watu wote hawa ikiwa hawana furaha hata kidogo na ajira au biashara zao wanazozifanya sasa hivi, kwanini waendelee tu kuzifanya kila siku? Au kuna mtu anawasukuma kufanya?

Mtu ungelitegemea kwamba ikiwa kuna mtu haipendi kazi anayoifanya basi angeachana nayo mara moja na kutafuta nyingine inayompa faraja zaidi au ridhiko la moyo wake na si kuendelea na shughuli inayomkosesha raha kana kwamba kuna mtu amemshikia fimbo kumlazimisha aifanye.


Mpendwa msomaji makala hii inaendelea leo tarehe 15/06/2023 usiku saa 3, ungana nasi kwenye kundi la wasap la MICHANGANUO-ONLINE. Masomo haya kuhusiana na fedha na uwekezaji utayapata kila siku na mengine yote yaliyokwishapita tangu darasa lianze tunakutumia yote . Unapata na OFFA yetu kubwa ya vitu 12 iliyo na mchanganyiko wa vitabu na Michanganuo ya biashara mbalimbali zinazolipa nchini. vitu vingi vikiwemo hivi vifuatavyo;


VITU HIVYO 12 VYA OFFA NI HIVI VIFUATAVYO;-

                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)


Ada ni sh. Elfu 10 na unakuwa mwanachama kwa mwaka mzima


Kama hutumii watsap tutakutumia kila kitu kwa email yako.

Simu/Whatsap; 0712202244 au 0765553030

 

0 Response to "KWANINI KAMA HUIPENDI AJIRA YAKO BADO TU UNAENDELEA KUIFANYA?"

Post a Comment