Biashara mpya nyingi zinazoanza mara kwa mara huambatana na sifa ya uendeshwaji na mtu mmoja(sole proprietorship) huku bajeti zake zikiwa finyu sana kiasi ambacho wamiliki wake inawawia vigumu sana kubalansi mapato na matumizi yake. Kuna wakati faida inayoingia huwa kidogo kuliko ilivyotarajiwa na hii hubadilikabadilika kila mwezi na kusababisha kuwepo na siku nzuri na siku mbaya.
Hata hivyo kwa biashara inayoanza siku mbaya ndiyo huwa nyingi zaidi kuliko siku nzuri, hali hii husababisha pia usimamizi wa fedha kuwa mgumu sana na siri pekee itakayomwezesha mjasiriamali kuishinda hali hii ni yeye kuanza kubadilika kimtazamo hasa katika matumizi ya kila siku ya fedha na kuanza kujiwekea akiba au kurudisha faida katika mzunguko wa biashara jambo ambalo ndiyo msingi wa maendeleo ya biashara yeyote ile nzuri.
Kuweka akiba au utunzaji mzuri wa fedha hakumaanishi kubana matumizi kupita kiasi hapana, bali maana yake ni kutumia kwa uangalifu fedha tu kwenye vile vitu muhimu zaidi, hili halipo tu katika biashara bali na hata katika upande wa maisha binafsi ya mtu ya kila siku. Kuna wakati hata itakulazimu kuzitoa mhanga pesa zako mwenyewe za mfukoni kwenye biashara yako ili tu iweze kuvuka pale mahali ilipo. Jambo muhimu hapa ni kuchagua kwa busara ni wapi utumie pesa na wala siyo suala la kujizuia kutumia pesa kabisa.
Ukiwa kama mjasiriamali uliyejivika kofia zote mwenyewe unapaswa kufikiria kuhusu kubajeti fedha zako, ni wapi uzitumie rasilimali chache ulizokuwa nazo na pia ni vipi uutumie muda wako kwa ufanisi zaidi. Zifuatazo hapa chini ni changamoto kubwa 3 biashara mpya inazokumbana nazo, na baadae tutaona namna mjasiriamali unavyoweza ukakabiliana na changamoto hizo hadi kuzishinda na biashara yako kusonga mbele kifua mbele…….
..............................................................
..............................................................
Mpenzi msomaji, makala hii nzima iliyokamilika tutajifunza leo hii usiku Jumatatu ya tarehe 05/6/2023 katika group la Whatsap la Michanganuo-online. Kiingilio ni shilingi elfu 10 tu na baada ya kulipa nakuunganisha na group pamoja na kukutumia muda huohuo OFFA ya vitu 12, (itabu na michanganuo ya biashara mbalimbali) pamoja na masomo yote ya fedha yaliyopita kwenye group.
Namba za kulipia ni 0712202244 au 0765553030
Jina Peter Augustino Tarimo
OFFA HIYO YA VITU 12 NI HII HAPA CHINI;
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa
kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Somo
hii limeandaliwa na:
Peter
Augustino Tarimo
Mtaalamu
wa Michanganuo ya biashara aina zote
Phone/Watsap:
0765553030 au 0712202244
0 Response to "MBINU ZA KUBAJETI PESA KIDOGO KWENYE BIASHARA MPYA INAYOANZA & CHANGAMOTO KUBWA 3"
Post a Comment