PESA ZAKO ZINAPOTEA KIAJABU AJABU? NJIA RAHISI YA KUTAMBUA FEDHA ZAKO ZINAKOISHIA KILA SIKU HII HAPA | JIFUNZE UJASIRIAMALI

PESA ZAKO ZINAPOTEA KIAJABU AJABU? NJIA RAHISI YA KUTAMBUA FEDHA ZAKO ZINAKOISHIA KILA SIKU HII HAPA

Chuma ulete wa pesa zako
Kuna watu wengi sana hulalamika kwamba kiasi cha fedha wanachokipata hakioani kabisa na matumizi wanayoyafanya kila siku, na hata wanapojaribu njia mbalimbali wanazodai ni nidhamu ya pesa au matumizi bora ya fedha kama vile kuhifadhi kiasi fulani cha fedha ili baadae kije kiwaasaidie  bado wanajikuta matumizi yao yanazidi tu kuwa makubwa na mwisho wa mwezi au mwaka wanajikuta wanarudi tena palepale kutafuta elimu ya matumizi ya fedha.

SOMA: Puuza imani na dhana hizi potofu ufanikiwe katika biashara yako ya duka la vyakula

Unaweza ukatumia kila aina ya mbinu za kubajeti fedha zako, ukajifunza jinsi ya kudhibiti matumizi mabaya ya fedha zako na namna bora ya kubajeti fedha zako lakini ukasahau kitu kimoja tu na ikawa juhudi zote ulizozifanya hazizai matunda ya maana. Unapotaka kujijengea nidhamu ya fedha ili uweze kuwa na matumizi bora ya fedha zako unazozipata kwa tabu yafaa kwanza kufahamu ni wapi fedha zako nyingi zinakokwenda ndipo ujue ni jinsi gani upunguze matumizi yako kwenye hicho kitu.


Lakini zoezi hili huwa linawasumbua sana watu wengi kiasi kwamba wanashindwa kutofautisha vile vitu vinavyomeza fedha zao na masuala mengine ya kiimani au kishirikina. Hali hii hupelekea watu hao kuwa na imani za ajabu sana kiasi ambacho wengine huishia kwenda kupoteza fedha zaidi kwa waganga na wataalamu uchwara wa kienyeji wakijaribu kutafuta jinsi ya kudhibiti fedha zao zisipotee tena kirahisi. 

Watatishwa na 'mavinyago' ya kutisha mfano wa ile picha niliyoweka pale juu na kuaminishwa kuwa wapo chumaulete wanaowaibia fedha zao kimiujiza giza linapoingia. Wengine hata hudiriki kufunga biashara zao kila ikifika saa 12 jioni kisa eti wanaogopa wachawi na chumaulete.
Sasa baada ya kulitambua hilo tumefanya utafiti na kubaini kwanza njia rahisi ya kubaini fedha zako zinakoishia kila siku, jinsi ya kupunguza matumizi hayo na njia madhubuti itakayokuwezesha sasa kuhifadhi pesa zako na hata siku moja usilalamike tena kwamba fedha zako za biashara au za matumizi ya kila siku kuna “mdudu” anakuchukulia kimiujiza.......................................................

 ...............................................................................................................................................................................................................................................................................................................................................

Ndugu msomaji wangu, hili ni somo nitakalokwenda kufundisha leo hii tarehe 13/6/2023 katika Mastermind group WHATSAP la MICHANGANUO-ONLINE. Ni somo langu bora kabisa la FEDHA miongoni mwa masomo ninayoyatoa kila siku katika group hilo sambamba na masomo mengine mengi tuliyokwishajifunza.

Masomo ni kila siku usiku saa 3 – 4. Kiingilio ni sh. Elfu 10 tu ada ya mwaka mzima, hutalipa tena chochote. Ikiwa unajiunga sasa utapata fursa ya kupata papo hapo OFFA yetu kubwa ya vitu 12 yenye vitabu maarufu na Michanganuo kamili ya biashara zinazolipa Tanzania

Nafasi bado zipo lakini ni katika Group moja tu ambalo likijaa basi ni mpaka mwakani tena tutakapoanza programu nyingine, hivyo kama unafurahia Makala zetu basi fanya hima uwahi nafasi yako uendelee 'kuenjoy' kila siku. 

Huwa tunakuwa pia na semina za mara kwa mara za kuandika michanganuo bunifu kwa biashara zinazolipa haraka.

Kulipia tuma sh. Elfu 10 kwenye namba zetu, 0765553030  au  0712202244  jina ni Peter Augustino Tarimo na ujumbe usemao, 

NIUNGANISHE NA GROUP LA MICHANGANUO-ONLINE PAMOJA NA OFFA KUBWA YA VITU 12”


OFFA YA VITU 12 NI HII HAPA CHINI;-

                 1.      COURSE/SEMINA: (compiled complete course) ya Jinsi ya kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili

                 2.       KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu.kwa kiswahili

                 3.      KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili

                 4.      KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili

                 5.       KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili

                 6.       KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN  ni maarufu sana duniani na ndio hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza

                 7.       MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini Broilers - kwa kiswahili

                 8.      MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza

                 9.      MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili

              10.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili

              11.    MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza

              12.    MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili

              13.    Kuunganishwa Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka hatukuunganishi)





0 Response to "PESA ZAKO ZINAPOTEA KIAJABU AJABU? NJIA RAHISI YA KUTAMBUA FEDHA ZAKO ZINAKOISHIA KILA SIKU HII HAPA"

Post a Comment