Mtu anaweza akawa anazijua njia zote za kuepukana na matumizi mabaya ya fedha lakini bado tu akajikuta pasipo yeye kufikiri wala kuchukua tahadhari anatumia pesa kupita kiasi anachotakiwa kutumia. Hili hutokana na ubongo wa binadamu kuwa na “ujanja” mwingi. Ubongo wetu ulivyo, huwa unatengeneza kitu kama mtego wa kutunasa na sisi bila ya kujua tunajikuta tumetumbukia.
1. HOFU
YA KUPOTEZA:
Hofu hii ni ya ndani kabisa, hutuzunguka muda wote unapokuwa
tukitaka kununua kitu au hata wakati mwingine kuuza kitu. Huwa tunahofia kupoteza fursa
fulani na hivyo kufanya manunuzi ya vitu kwa pupa pasipo kwanza kufikiria wala
kupima uzuri na ubaya wake.......................................................................................................
Na hii ndiyo OFFA yenyewe ya vitu
12;
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa
kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Somo hii limeandaliwa na:
Peter Augustino Tarimo
Mtaalamu wa Michanganuo ya biashara aina zote
Phone/Watsap: 0765553030 au 0712202244
SOMA NA HIZI HAPA:
1. Biashara 7 nzuri za kufanya zitakazokuingizia pesa hata kama umelala
2. Njia 7 halali na nzuri za kupata mafanikio na utajiri
0 Response to "SABABU 4 KWANINI HUWA TUNATUMIA PESA NYINGI KULIKO KIASI TUNACHOPASWA KUTUMIA"
Post a Comment