Zipo kanuni 3 za fedha kimahesabu
ambazo zina uwezo wa kutoa majibu kwa swali ambalo watu wengi sana wamekuwa
wakijiuliza mara kwa mara na kwa muda mrefu, jinsi ya kujua ikiwa mtu maisha
yake ya baadae yatakuwaje kifedha na ni kwanini matajiri wanaendelea kuwa
matajiri wakati masikini wakibakia kuwa masikini.
Dalili za kujua kama utakufa masikini
au tajiri mtu ana uwezo wa kuanza kuzijua mapema kabisa katika maisha yake
ikiwa ataamua kukaa chini na kujikagua mienendo na tabia za maisha yake.
Wataalamu walikaa chini na kufuatilia mienendo hiyo ya watu mpaka wakaibuka na
kanuni ya kimahesabu iliyokuwa na uwezo wa kutabiri hatma ya mtu yeyote yule
ikiwa atakuja kufa akiwa tajiri au masikini.
Kwa mfano unaweza kukuta mtu anapata
pesa nyingi tu mwezi huu lakini mpaka mwezi ukaishe unakuta tayari mtu huyu
hana tena kitu mifukoni, isitoshe keshaingia madeni chungu nzima. Na hii wala
haijalishi ikiwa mtu anapata pesa kiasi gani kwani wengine hata kama wanapata
mamilioni lakini matumizi yao ndiyo tatizo. Kunakuwa hamna tofauti kati ya mtu
anayepata laki moja kwa mwezi na yule anayepata kipato cha milioni 10 kwa mwezi
ikiwa kama hamana nidhamu yeyote ile ya fedha.
Kanuni hizo ndugu msomaji wangu bila ya kupoteza muda wako mwingi ni hizi zifuatazo na hivi punde tu katika somo hilihili nitazifafanua vizuri zaidi nikitumia kanuni zake (Formula) kama zilivyokokotolewa na wataalamu wa mambo ya uchumi na fedha waliobobea;
1.
Kanuni ya kufilisika (Bancruptcy
formula)
2.
Kanuni ya umasikini (Poverty formula)
3.
Kanuni ya ukwasi au tajiri (Wealthy
formula)
1.Tukianza na ile ya kwanza kabisa, kanuni ya kufilisika;
K - M =(-D)
Ambapo herufi,
K = ........................................
......................................................................................................................................................................................................
Kupata Somo hili zima uzijue kanuni hizo kwa kina, ungana nasi kwenye Master
Mind group la MICHANGANUO-ONLINE leo tarehe 03/06/2023 usiku saa 3 utapata
pia fursa ya kujua jinsi kanuni hizi tatu zinavyofanya kazi.
Utapata OFFA ya vitu 12, vitabuna Michanganuo
kamili ya biashara, utapewa na masomo mengine yote ya PESA yaliyopita tangu
darasa lianze, pamoja na fursa ya kushiriki bure semina mbalimbali za uandaaji
wa Michanganuo ya biashara BUNIFU kwa mwaka huu mzima.
Kiingilio ni sh. elfu 10, tu mwaka mzima. Lipia kupitia namba, 0712202244 au
0765553030. Jina ni Peter Augustino Tarimo, kisha tuma na ujumbe usemao, "NIUNGANISHE MASTERMIND GROUP NA OFFA YA
VITU 12" Utainganishwa muda huohuo na kutumiwa kila kitu. Ikiwa hutaki
group ungepednelea offa peke yake nijulishe nisikuunge.
Ikiwa hutumii watsap, tuma anuani yako ya email tutakutumia kila kitu kwa
email.
VITU 12 VYA
OFFA NI HIVI VIFUATAVYO;-
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 - kwa kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa
kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Somo
hii limeandaliwa na:
Peter
Augustino Tarimo
Mtaalamu
wa Michanganuo ya biashara aina zote
Phone/Watsap:
0765553030 au 0712202244
SOMA
NA HIZI HAPA PIA;
0 Response to "UTAJUAJE KAMA UTAKUFA MASIKINI AU TAJIRI? HIZI HAPA KANUNI 3 ZA KUIJUA HATMA YAKO KIFEHDA"
Post a Comment