Madeni, kushindwa kumudu mahitaji ya kila
siku pamoja na kukosa muda wa kutosha kujumuika na familia kunakosababishwa na
matatizo ya kifedha ni chanzo kikubwa sana cha vifo vya baadhi ya watu pasipo
wao wenyewe kujijua. Tatizo hili ni muuaji wa taratibu (silent killer)
SOMA: Njia
10 za kuhamasika na kuendelea kubakia na hamasa hiyo kwa muda mrefu ujao.
Matatizo makubwa mawili kiafya yanayowapata
binadamu kutokana na dhiki ya fedha ni wasiwasi na msongo
wa mawazo. Vitu hivi kwa kiasi kikubwa sana ndivyo vinavyohusishwa na
magonjwa hatari ya moyo, kiharusi, vidonda vya tumbo, kisukari, kukosa
usingizi, shinikizo la juu la damu na matatizo mengine mengi.
SOMA: Kwanini
kufanikiwa kifedha si dhambi?
Magojwa haya yana uwezo wa kuudhoofisha mwili
wa mtu na kumzuia kabisa asiweze kufurahi na familia yake, kupunguza uwezo wa
kufanya kazi wa mtu na mwishowe kuzidisha mara dufu matatizo na dhiki za
kifedha kwa mhusika.
SOMA: Njia 6 za kuondoa woga na stress za fedha katika maisha yako
Kwa hiyo mtu unapokuwa na mfadhaiko au
‘stress’ zitokanazo na matatizo ya fedha, kitu cha kwanza kabisa siyo kuanza
kufikiria sana matokeo mabaya yatokanayo na wewe kushindwa kulipa madeni au
kutomudu mahitaji yako ya msingi ya kila siku, bali cha kuanza kufanya ni
kuwaza njia mbalimbali unazoweza ukazitumia ili kuweza kuboresha tena hali yako
kifedha. Ikiwa utaendekeza hofu na mashaka, utashindwa kabisa kukabiliana na
hali hiyo na mwisho utakaribisha magojwa yaliyotajwa hapo juu na kuzidisha hali
kuwa mbaya zaidi............somo linaendelea...........
………………………………………..
Ndugu msomaji hili ni somo tunalokwenda
kujifunza leo 20/07 2023 katika masomo yetu ya kila siku ndani ya GROUP la
WHATSAPP la MICHANGANUO ONLINE, Tutachambua kwa kina zaidi jinsi stress
zinavyoweza kusababisha madhara makubwa na hatua madhubuti za kuchukua haraka
pindi mtu anapojikuta kwenye hali kama hiyo kabla hajapatwa na madhara zaidi.
Ndani ya group hili kila siku saa 3,
tunajifunza masomo kuhusiana na Michanganuo ya biashara bunifu zinazolipa
pamoja na jinsi ya kuboresha Mizunguko yetu ya fedha na katika biashara zetu.
Mbali na masomo hayo ya kila siki pia tunatoa
ofa ya vitu mbalimbali 12 vifuatavyo katika mfumo wa softcopy pindi mtu
anapojiunga. Offa hii ni ya muda mfupi na itaondolewa muda wowote hivyo ni ya kuwahi
mapema ikiwa unaihitaji.
OFFA YA VITU 12 NI HII IFUATAYO
1.
COURSE/SEMINA: (compiled
complete course) ya Jinsi ya
kuandika Mchanganuo wa biashara –(Ukishindwa
kuandika mchanganuo wako mwenyewe utarudishiwa pesa zako) - kwa kiswahili
2.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa kiswahili
5.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika
mpango wa biashara-dakika 30 - kwa
kiswahili
6.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani na ndio
hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama –kwa
kiingereza
9.
MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za
saruji- kwa kiswahili
10. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa
Kiswahili
13. Kuunganishwa Group la
masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima ukitaka. (Mentorship group) (Ni hiyari yako lakini, usipotaka
hatukuunganishi)
Kujiunga lipia ada ya mwaka sh. 10,000/= kupitia
namba zetu; 0765553030 au 0712202244 kisha tuma ujumbe sms au watsap usemao;
NATAKA OFFA YA VITU 12 NA GROUP LA MASOMO KILA SIKU”
Unatumiwa masomo mengine yote yaliyopita, tuna
masomo zaidi ya 80
Semina za michanganuo bunifu ya biashara zinazolipa
haraka pia zinaanza wiki hii usikose!
Imeandaliwa na:
Peter Augustino Tarimo
0712202244
0765553030
0 Response to "JINSI STRESS ZA PESA ZINAVYOWEZA KUZIMA KABISA NDOTO ZAKO NA HATUA ZA KUCHUKUA HARAKA"
Post a Comment