Katika maisha watu hujiwekea malengo
mbalimbali kama vile, kufunga harusi, kwenda kusomea kozi fulani, kununua
kiwanja, kununua gari, kujenga nyumba, kufungua biashara na malengo mengine
mengi binadamu anayoweza kupanga kichwani mwake.
SOMA: Maajabu ya kufikiri mambo makubwa na kwanini uweke malengo
makubwa maishani
Hapa nimekuletea hatua 3 rahisi sana ambazo
mtu unaweza ukazitumia katika kuandaa bajeti itakayokuwezesha kutimiza lengo
lolote lile ulilojiwekea kwani duniani hakuna malengo yasiyokuwa na bajeti.
Fedha ni muhimu karibu kwenye kila tukio siku hizi iwe ni shughuli au kitu kingine
chochote kile.
SOMA: Njia
unazotumia kubana matumizi kumbe zinakuzidishia umasikini.
Ili
kuweza kutekeleza mpango wowote ule ni lazima kwanza uwe umejiwekea malengo.
Hivyo basi huna budi kutambua kiasi cha fedha utakazohitaji pamoja na muda
katika kutekeleza mpango wako. Tuchukulie mfano labda kwa kipindi cha kiangazi
ungetaka ununue Friza kwa ajili ya kutengeneza Icecream za kuuza pale nyumbani
kwako.
Tuchukulie
ni mwezi wa 9 na ungetaka hadi kufikia
Desemba mwezi wa (12) basi uwe umeshapata shilingi laki 4 kwa ajili ya
kununulia hilo friza. Hii inamaanisha kwamba katika kila mwezi kuanzia mwezi wa
9 utajiwekea shilingi laki moja.
Baada
ya kuhakikisha lengo hili uliloliweka ni la kweli na linatekelezeka,
kitakachofuata sasa ni kuamua hatua utakazozichukua ili kulifikia lengo hilo.
Zoezi hili litahusisha hatua kubwa 3 zifauatazo; ................................................................................................................................................................................................................................................................................................................
Mpenzi
msomaji makala hii haijamalizika, unaweza kupata makala zote kamili ukijiunga
na group la masomo la MICHANGANUO ONLINE
Ili
kujiunga kuna kiingilio cha shilingi elfu 10 tu kwa mwaka kisha unapata na offa
ya vitabu mbalimbali na michanganuo ya biashara jumla vitu 14
Masomo
yote zaidi ya 100 utayapata yakiwa kamili ndani ya group pamoja na semina za
kuandika michanganuo bunifu mara kwa mara.
Kulipia
ada tumia namba zetu; 0712202244 au 0765553030 jina ni Peter Augustino
Tarimo
ORODHA
YA VITABU NA MICHANGANUO YA OFFA HII HAPA;
1.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa
michanganuo ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika
kila kitu. – kwa Kiswahili
2.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 tu - kwa kiswahili
3.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa -kiswahili
4.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana
duniani, hutumika vyuo vikuu vingi.-kwa
kiingereza
5.
KITABU: Siri za upishi wa chapati laini-UPENDO
CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.-kwa
kiswahili
6.
COMPILLATION: Masomo 30 ya fedha
usiyoweza kuyapata popote, mengine 70 utayapata kwenye group kila siku - kwa Kiswahili
7.
MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji
Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
8.
MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane
Restaurant –kwa
kiingereza
9.
MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane
Restaurant –kwa Kiswahili
10. MCHANGANUO: Ufyatuaji tofali za saruji- kwa kiswahili
11. MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers –kwa kiingereza
12. MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers –kwa kiswahili
13. MCHANGANUO: Kiwanda cha mvinyo na juisi ya Rosella –Choya Investment – kwa kiswahili
14. MCHANGANUO: Kilimo cha Tikiti maji:- Kibada Watermelon Fruits – kwa kiswahili
0 Response to "KUTIMIZA NDOTO NA MALENGO YAKO MAISHANI, HIZI HAPA HATUA 3 ZA KUTENGENEZA BAJETI YA JAMBO LOLOTE "
Post a Comment