Hii ni Semina ya siku 5 inayoendeshwa ndani ya group maalumu la Semina bunifu za michanganuo ya biashara zenye fursa kubwa ya kutengeneza faida. Tunakuwa na madarasa kila siku usiku kwa kipindi chote cha msimu wa kuku.
Walengwa ni wajasiriamali wote walio na nia ya kujua
jinsi ya kuandaa michanganuo ya biashara zao, wanaofanya miradi
ya ufugaji wa kuku pamoja na mtu yeyote yule mwenye kiu ya kujifunza jinsi ya kutumia ubunifu katika biashara na ujasiriamali kwa nia ya kukuza mtaji haraka
Mkufunzi ni mwandishi na mtaalamu wa michanganuo, Mr.
Peter Augustino lakini pia huwa tunashirikiana na wataalamu wengine mbalimbali;
MALENGO
YA SEMINA
1.
Kuwajengea wajasiriamali Ubunifu na mbinu
mbalimbali zitakazowawezesha wapate faida kubwa na haraka katika miradi yao ya
ufugaji wa kuku
2.
Kuwafunza wajasiriamali jinsi ya kuandaa michanganuo
ya biashara zao
3.
Kuwapa wajasiriamali ujuzi wa kutambua
gharama na faida halisi za miradi yao ya kuku kabla hata ya kuanza
4.
Kushirikishana na wajasiriamali wengine
maarifa na taarifa mbalimbali za ujasiriamali hasa katika sekta ya ufugaji wa
kuku.
RATIBA
YA SEMINA
1.
SEHEMU YA KWANZA:
(Maandalizi)
2.
SEHEMU YA PILI
(Muhtasari, Bidhaa & Biashara)
3.
SEHEMU YA TATU
(Soko,
Mikakati & Utekelezaji
4.
SEHEMU YA NNE
(Uendeshaji, Uongozi na
Wafanyakazi
5.
SEHEMU YA TANO
(Fedha & Viambatanisho)
JINSI
YA KUJIUNGA
Mshiriki anapaswa kuwa na vitu 2 muhimu kabla ya kuanza
semina; Kitabu cha Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali pamoja na Mchanganuo
wa kuku 300 wa Kuroiler uliokuwa tayari kwa ajili ya marejeo na kufuatilia
wakati wa semina. Vitu hivi gharama yake ni shilingi elfu 10 tu ambayo hulipwa
kupitia namba 0712202244 au 0765553030 jina Peter Augustino Tarimo.
Mara baada tu ya malipo tunakutumia vitu hivyo mara moja
pamoja na Bonus/Offa ya Michanganuo mingine mbalimbali 6 kama ifuatavyo;
1.
Mchanganuo wa kuku wa nyama( Tumaini Broilers)-kiingereza
2.
Mchanganuo wa kuku wa nyama (Tumaini) -kiswahili
3.
Mchangauo wa kuku wa mayai (Mayai Bora
Project)-kiswahili
4.
Mchanganuo wa Matikiti maji (Kibada watermelon)-kiswahili
5.
Mchanganuo wa Mgahawa wa chakula (Jane
Restaurant)-kiingereza
6.
Mchanganuo wa Mgahawa wa chakula (Jane
Restaurant) -kiswahili
SOMA NA HIZI HAPA;
1. Semina ya kuandika mchanganuo wa biashara ya kiwanda cha tofali
za sementi - bado siku 4 tu
3. Kupata faida kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji au wa kisasa
mfugaji mjanja hutumia mbinu hizi.
4. Ufugaji wa kuku wa kisasa wa mayai vs kuku wa nyama ni biashara
ipi inayolipa faida zaidi?
5.
Njia mpya za kufanya mambo: dunia, biashara, ajira
vinabadilika kwa kasi ya ajabu
0 Response to "KARIBU KWENYE SEMINA YA KUANDIKA MCHANGANUO BUNIFU WA BIASHARA YA UFUGAJI WA KUKU CHOTARA (KUROILER)"
Post a Comment