DUKA JIPYA LA VITABU NA MICHANGANUO & PUNGUZO KUBWA LA BEI! | JIFUNZE UJASIRIAMALI

DUKA JIPYA LA VITABU NA MICHANGANUO & PUNGUZO KUBWA LA BEI!

Duka jipya la vitabu na michanganuo ya biashara

Self help Books Tanzania inapenda kuwatangazia wasomaji wake wote kwamba kufuatia uzinduzi wa duka jipya la vitabu na michanganuo ya biashara mtandaoni 15/09/2024 sasa kila mtu ataweza kujipatia vitabu na michanganuo yetu kwa urahisi na muda wowote ule apendao

Kwenye duka hili mteja kwa kutumia mtandao wa simu yake ya mkononi laini yeyote ile anaweza kulipia kitabu/mchanganuo na kupakua muda huohuo (kudownload) kupitia barua pepe (email) yake

Kufuatia ufunguzi huo tumeshusha bei ya kila kitabu na michanganuo yetu yote karibu robo ya bei ya kawaida katika kipindi maalumu tu

Baada ya muda huo kumalizika bei zitarudi tena kuwa kama zamani. Bei ya kila kitu kwa sasa hivi kwenye duka hili ni chini ya shilingi elfu tatu (Tsh. 3,000/=)

Kuingia kwenye duka hili bofya maandishi haya; “DUKA JIPYA LA VITABU & MICHANGANUO YA BIASHARA

Kwa sasa duka lina jumla ya vitabu na michanganuo ya biashara 34, vitabu 7, michanganuo kamili mirefu 25 na michanganuo mifupi 2

Unakaribishwa sana ndugu msomaji ujichagulie kitabu au mchanganuo wa kusoma uboreshe biashara yako.


HUDUMA ZETU NYINGINE;

KUANDIKA MICHANGANUO YA BIASHARA / BUSINESS PLANS

ü Tunaandaa mchanganuo wa biashara ya aina yeyote kubwa na ndogo, kwa ajili ya kuombea mkopo, kutafuta mbia, au hata kwa ajili ya kuutumia kama ramani ya kuendeshea biashara yako. 

ü Michanganuo yetu ni orijino kulingana na mahitaji ya biashara ya mteja na wala siyo kukopi na kupesti biashara nyingine. 

ü Kwa kushirikiana na mteja tunafanya kwanza utafiti wa kina kupata taarifa muhimu kuhusiana na biashara yake kabla ya kuandika. 

Gharama zetu ni rafiki sana kuliko sehemu nyingine nyingi.


Peter Tarimo

0712202244  / 0765553030

0 Response to "DUKA JIPYA LA VITABU NA MICHANGANUO & PUNGUZO KUBWA LA BEI!"

Post a Comment