Tangu mwezi November mwaka jana 2024 nimekuwa nikiimba
wimbo wa kuanza rasmi kampeni ya kukata na shoka 2025 iitwayo MAKE YOURSELF GREAT AGAIN lakini hii ni
robo ya mwaka sasa kampeni hiyo ilikuwa bado haijangoa nanga rasmi, mpaka baadhi ya
wadau wa mwanzo niliokwisha waunga katika Mastermind Group kwa ajili ya
programu hii wakaanza ‘kuleft’ group
wakihofia ‘wamepigwa’ tayari.
Lakini napenda kuwajulisha kwamba, “wadau rudini kundini
kwani kampeni yetu imeshaanza tayari na sababu kubwa ya ucheleweshaji huo
ilkuwa ni waandaaji kukabiliwa na majukumu mengi ya kukamilisha maandalizi ya
programu mbalimbali tutakazowasilisha.
Tuliona ni bora kuchelewa tukaja na vitu vya uhakika
kuliko kuwaletea vitu vilevile vya kawaida (substandard)
vilivyozoeleka kila siku. Hakutakuwa na penati wala ubaguzi kwa anayerudi
kundini, tunawakaribisha tena upya kwa mikono miwili”
Kampeni 2025 ina programu nyingi lakini kubwa mbili ni
hizi zifuatazo;
1.
MICHANGANUO ONLINE MASTERMIND GROUP (M.O.M.G)-
Hii ndani yake kuna programu ndogondogo pia zifuatazo;
(1) Darasa
la siku 7 la kujifunza kuandika mchanganuo wa biashara yeyote ile (B/PLAN
MASTER CLASS)
(2) Masomo
ya Fedha(Cash flow subjects) kila siku
(3) Michanganuo
mifupi ya biashara bunifu zinazolipa haraka kila wiki.
(4) Teknolojia
rahisi ndogondogo zinazorahisisha maisha kila wiki, na
(5) Uchambuzi
wa kitabu cha Think And Grow Rich kwa Kiswahili kila wiki.
Program ya MOMG ina OFFA yake ya kipekee ambayo lakini
inakaribia kumalizika wiki hii, offa ni ya vitu 20, vitabu pamoja na
michanganuo ya biashara mbalimbali kama utakavyoona pale chini mwishoni.
Mara baada ya kulipia kiingilio sh. elfu 10 unatumiwa
offa zako papo hapo ndipo unaunganishwa na Mastermind group mwaka mzima.
2.
BIASHARA SHAMBA DARASA (B.S.D)
Hii ni programu maalumu kwa ajili ya kujifunza biashara
za rejareja kwa vitendo pamoja na marejeo ya vipengele mbalimbali katika kitabu
cha Duka la rejareja na kile cha Genge la Matunda na mboga.
Huwa tunakuwa na biashara halisi ambayo tunakuwa
tumeshakubaliana na mmiliki wake kushea taarifa zote na muenendo wa biashara
hiyo siku hadi siku.
Kwa sasa hivi tuna biashara moja ya Genge la matunda na
mbogambgoga iitwayo Genge la Swai, iliyopo Kimara Temboni
Kujiunga na programu hii mshiriki atalipia moja kati ya
vitabu vifuatavyo; MAFANIKIO YA BIASHARA YADUKA LA REJAREJA sh. 6,000/= au
BIASHARA YA GENGE LA MATUNDA & MBOGAMBOGA sh. 6,000/= Lipia kimoja upewe
cha pili free of charge
OFFA kweneye programu hii ni Shamba Darasa jingine
liitwalo; MAAJABU YA MBOGA YA CHINESE
SOKONI, ambapo tunazalisha mboga aina ya Chinese kiubunifu hatua kwa hatua
kwa kutumia Green House ya gharama nafuu iliyotengenezwa kwa material
zinazopatikana kwa urahisi kwenye mazingira yetu tunamoishi (Local green house)
Kuchagua kitabu miongoni mwa hivyo 2 hapo juu na kupewa
cha pili bure nayo ni offa kwani baada ya muda mfupi kupita anayetaka kujiunga
na programu hii atatakiwa kulipia vitabu vyote 2 sh. elfu12
Mtu anaweza akajiunga na programu moja au zote mbili kwa
pamoja. Ukichagua zote mbili unapata offa ya kulipia sh. 15,000/= tu! badala ya
elfu 16.
Ikiwa umependa moja kati ya programu hizi 2 au zote kwa
pamoja jitahidi ujiunge sasa hivi kabla ya wiki hii kumalizika au nafasi kujaa
kwani offa zilizopo ni za mwisho baada ya hapo tutaendelea na wanachama waliopo
kujifunza programu tulizoahidi hapo juu.
NAMBA
ZA MALIPO NI: 0712202244
JINA:
PETER AUGUSTINO TARIMO
Ukishalipia tuma ujumbe wa programu unayohitaji kama ni
“MOMG” au “BSD”
Kwa wewe mdau wangu unayesoma makala zetu kila mara nakusihi
kwa kweli ujitahidi kuwahi nafasi kwani ukichelewa ni mpaka mwakani tena muda
kama huu.
Kumbuka maudhui yetu mwaka huu ni ya kivitendo zaidi (practical
oriented) tofauti na nadharia tulizozoea kila siku, hivyo hatuwezi
kumudu kuwa na madarasa ya watu wengi, nafasi zikijaa tafadhali usije kunilaumu
ukasema mdau wako Peter Tarimo sikukutonya mapema.
Tukutane Darasani saa 2 usiku
Peter Tarimo
Simu/SMS:
0712202244
Watsap: 0765553030
VIFUATAVYO
NI VITU 22 VYA OFFA YA MWISHO YA MICHANGANUO-ONLINE MASTERMIND GROUP (M.O.M.G)
1.
KITABU: Michanganuo ya Biashara na Ujasiriamali chenye course zote muhimu
za BIASHARA, jinsi ya kuandaa michanganuo
ya biashara na sample za michanganuo mbalimbali 10 iliyokamilika kila kitu. – kwa kiswahili
2.
KITABU: Mifereji 7 ya Pesa na Siri
Matajiri wasiyopenda kuitoa –kwa kiswahili
3.
KITABU: Siri za upishi wa chapati
laini-UPENDO CAFE pamoja na Mchanganuo wake kamili.- kwa kiswahili
4.
KITABU: Njia rahisi ya kuandika mpango wa biashara-dakika 30 tu! - kwa kiswahili
5.
KITABU: HOW TO WRITE A BUSINESS PLAN ni maarufu sana duniani hutumika
vyuo vikuu vingi.-kwa kiingereza
6.
KITABU: THE BOOK ON BUSINESS PLANNING- A step by step guide; cha mwandishi
nguli wa michanganuo Tim Berry.-kwa kiingereza
7.
MCHANGANUO MPYA: Biashara ya usagishaji Sembe & Dona (Chamazi White Maize
Milling Co.) - kwa kiswahili
8.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama -Tumaini
Broilers - kwa
kiswahili
9.
MCHANGANUO: Kuku wa nyama-Tumaini
Broilers .-kwa kiingereza
10. MCHANGANUO: Poultry Production 5000 Broilers (Delicious Poultry
Production) .-kwa kiingereza
11. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa Kiswahili
12. MCHANGANUO: Mgahawa wa chakula-Jane Restaurant –kwa kiingereza
13. MCHANGANUO: Kiwanda cha usagishaji Dona (Usado milling) - kwa Kiswahili
14. MCHANGANUO: Kiwanda kidogo cha mvinyo na juisi ya Rosella -kwa Kiswahili
15. MCHANGANUO: Kiwanda kidogo cha kukoboa mpunga (Kikundi cha kina mama) - kwa Kiswahili
16. MCHANGANUO: Kiwanda cha kufyatua tofali za saruji (Kiluvya bricks) - kwa kiswahili
17. MCHANGANUO: Event planning and Management (Margareta Events in Dar) –kwa kiingereza
18. MCHANGANUO: Biashara ya kuuza chipsi (Amani chipsi centre Buguruni) –kwa Kiswahili
19. MCHANGANUO MFUPI: Biashara ya Steshenari (Neema Stationery) –kwa Kiswahili
20. B/PLAN TEMPLATE (KIELEZO): –kwa kiingereza
21. B/PLAN TEMPLATE(KIELEZO): –kwa kiswahili
22. Kuunganishwa Mastermind
Group la masomo ya kila siku ya fedha na michanganuo mwaka mzima(Mentorship group)
Namba ya malipo ni 0712202244 (Peter Auustino Tarimo). Lipia sh. elfu 10 kupata Offa
hii sasa hivi kwenye simu au kompyuta yako na kuunganishwa Mastermind Group la
Michanganuo kwa mwaka mzima wa 2025 kwa ajili ya programu ya JIRUDISHIE UKUU
WAKOTENA (MAKE YOURSELF GREAT AGAIN)
SOMA NA HIZI HAPA;
1. Ubunifu na akili bandia,
vitumie kuiboost biashara yako ifike viwango vingine
2. Semina siku ya 6: mpango wa
fedha mchanganuo wa biashara kiwanda cha dona (usado milling
3. Semina: mchanganuo wa
biashara ya kusaga na kuuza unga safi wa dona (usado milling)-1
4. Tofauti iliyopo kati ya
business plan na business proposal
5. Ijue falsafa ya kitabu
iliyotengeneza matajiri & mabilionea wengi zaidi duniani
6. Jinsi ya kuanzisha biashara
ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo hata kama huna mia mfukoni
7. Biashara ya duka inavyoweza
kukutoa kimaisha ukiwa mjanja
0 Response to "HII NI OFFA YA MWISHO, DARASA LA MWISHO"
Post a Comment